Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Eti taifa teule?😂😂😂Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Hivi nyie nani aliwaroga? Yaani na wewe kwa akili hizi za kuvukia barabara unaamini katika dunia hii kuna taifa teule?
Makao makuu ya ushoga ulimwenguni halafu bado liwe taifa teule?