Eti taifa teule?😂😂😂Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Hata mtu mwenye akili timamu akiona unavyoelezea nguvu ya Iran kijeshi atakucheka na kukudharau sanaMtu mwenye akili timamu akisoma ulichoandika atagundua umechanganyikiwa siyo akili za mtu timamu
Alikuja kwa walio wake nao walio wake hawakumtambuaKwa vile ni taifa teule ndio wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
Pita kuleNakuuliza wewe si unasema hakuna aliyewafuta ndio nakuuliza kawa hawakufutwa kabila la Dani liko wapi? Hata kwenye ufunuo halitajwi kuexist tena...... unajua kwanini?
Hujui maandiko unaongea pumba tu
Taifa lililotupa masihi YESU KRISTOEti taifa teule?😂😂😂
Hivi nyie nani aliwaroga? Yaani na wewe kwa akili hizi za kuvukia barabara unaamini katika dunia hii kuna taifa teule?
Makao makuu ya ushoga ulimwenguni halafu bado liwe taifa teule?
Hizi ndoto za kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia HAZIWEZI KUTIMIA NA WALA HAZITAKUJA KUTIMIA KAMWE. Haijalishi, hata kama itatokea dunia nzima wakawa kinyume na Taifa la Israel. Wanachoweza kufanya ni kuichakaza tu na hilo litafanyika endapo Mungu akiruhusu na SIO KUIFUTA kwenye ramani ya dunia. Majaribio ya kuwafuta Waisrael yalishafanyika mara kadhaa huko nyuma, na yote yalishindwa. Maadui zao huwa wanafanikiwa kuwachakaza tu. Taifa la ISRAEL NI MPANGO WA MUNGU. LIPO PALE LILIPO KWA MPANGO WA MUNGU.Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Soma vizuri Biblia.Ibrahim kamzaa isaka ,isaka akamzaa yakobo ambaye baadaye Mungu alimbatiza na kumwita Izrael .wana izrael maana yake watoto wa yakobo ambao ni vitukuu vya Ibrahim!!Maandiko gani hayo uliyosoma????
Israel sio mtoto wa ibrahim btw
Narudia tena yakobo sio mtoto wa ibrahim.Soma vizuri Biblia.Ibrahim kamzaa isaka ,isaka akamzaa yakobo ambaye baadaye Mungu alimbatiza na kumwita Izrael .wana izrael maana yake watoto wa yakobo ambao ni vitukuu vya Ibrahim!!
Tatizo bado tupo. Tutakumbushana wakati ukifika.Habari kama hizi ndio zinaitwa propaganda.. wanatengeneza mazingira ya kuoneka walitaka kujibu ili kujisafisha.. rusheni vyuma hivyo muone moto mtapigwa na SATAN II ya mrusi na msiulize wameitoa wapi
Mkuu ulipaswa uwe kwenye list ya wahanga wa Diddy.Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Hivi wayahudi unawajua wewe 🤣🤣🇮🇱eti waifute Israel Kwa taarifa yako walijaribu siku nyingi sana kuifuta lakini hawakuweza na hawatoweza 🤣🤣🇮🇱🇮🇱Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Mkuu naona umeshibishwa propaganda..hongera kwa kumeza kikamilifu.Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Analeta mchezo huyo.Hivi wayahudi unawajua wewe 🤣🤣🇮🇱eti waifute Israel Kwa taarifa yako walijaribu siku nyingi sana kuifuta lakini hawakuweza na hawatoweza 🤣🤣🇮🇱🇮🇱
Nineshibishwa na nani?Mkuu naona umeshibishwa propaganda..hongera kwa kumeza kikamilifu.
Mbona unajipinga mwenyewe? Kama Mungu anaweza ruhusu basi hashindwi ruhusu wafutwe. Mfano kwenye Bible mbona alilifuta kabila la Dani...na hilo litafanyika endapo Mungu akiruhusu
Mbona Hitler aliweza kuwapoteza 6 millioni!! Kama ingekua ndio wanaishi hapo Tel aviv basi angeshaifutaga kwenye ramani bahati yao tu walikua wanaishi ulaya..Hivi wayahudi unawajua wewe 🤣🤣🇮🇱eti waifute Israel Kwa taarifa yako walijaribu siku nyingi sana kuifuta lakini hawakuweza na hawatoweza 🤣🤣🇮🇱🇮🇱
Mwanzo 12Maandiko gani hayo uliyosoma????
Israel sio mtoto wa ibrahim btw
Wabarikiwe kwa KUMUUA YESU KRISTO!Thubutu.