njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Hahaha nakumbuka enzi za utoto ukitenda kosa then Baba anasema atakuchapa hala hauchapwi aisee utakaa siku nzima hauna raha hata kama siku hiyo wali nyama ukikumbuka tu unasubiria kichapo raha yote kwishaa na ndicho kinantokea Iran. HahahaNi katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Hamna kitu UK US na Washirika wakiamua ni kama kumsukuma Mlevi.Irani hio ngoma inawachukua miaka 100+
Mlikuwa mkisema hivyo hivyo kuhusu Sadam eti ana Makombora ya Scud lakini alipopokea kichapo mkaingia mitini.Ww ndo unaishi huko Iran au ukisikia CNN inasema hivyo ndo unadakia kama zuzu .huyo raza anapewa airtime na cnn na BBC..ila uwezo wa kupenya mpaka awe kiongozi hilo hakuna majina ya urais lazima yapitiwe na shura ya maimu
Masih Yesu ni kwa ajiri ya watu weusi lakini mayahudi hawamtambui bado wanangoja Masih wao.Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Hamia milembe wenzio wapo vitani wewe unahubir toka hadithi za kaleThubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
Pita kuleHamia milembe wenzio wapo vitani wewe unahubir toka hadithi za kale
acha utumwaBiden admiration is horrible.leaking a serious documents to Iran and then allowing a drone to attack Benjamin Netanyahu!! They think Bibi is a obstacle to ceasefire before November USA election.politicians are evil
Hii wamejaribu miaka zaidi ya 40 yrs yote hiyo iran ikiwa weak poor state wataweza leo iran yenye kuuza drone na missile iran inayoweza kukaa meza moja na russia na other nation ikisimama pale middle east kama regional leader je ndio hii wataiweza kishindo cha kuangusha mbuyu wanakiweza lazima kibomoe chumba kadhaaa wako tayari kubear the price maana wanauhakika wa MAD (mutual assured destruction).Mwana wa Mfalme Shah Reza Palhavi yuko teyari kusimika Democratic Secular Government na Maayatola wote watarudi Misikitini na kufundisha Madrasa hawataruhusiwa tena kufanya Siasa.
Russia imevamia imeteka maeneo ya Ukraine yako chini yake ukraine imeshindwa kuyakomboa Russia nakubali kweli kashindwa kitu kimoja tu kuipiga ukraine nzima na kuikalia hicho ameshindwa ila ni baada ya ukraine kupata support ya nato ,ila ktk kupoteza maeneo ukraine ndio amepoteza na anaendelea kupoteza miji na vijiji kila kukicha na kumbuka Russia hajafanya all outwar mpaka sasa .Acha porojo, Russia hii hii inayojikongoja na Ukraine! Zaidi ya kitisho cha Nuclear, hana chochote cha ajabu.
Turkey pia inauza Drones za kisasa na Missiles kuliko Ayatolah lakini husikii ikianzisha Vikundi vya Wanamgambo Magaidi kwenye Nchi za Watu.Hii wamejaribu miaka zaidi ya 40 yrs yote hiyo iran ikiwa weak poor state wataweza leo iran yenye kuuza drone na missile
Hii sio rahisi hata kidogo ni kweli nato wananguvu na ndio maana wairan wanatafuta alliance ila pia watu wa ulaya ndio kabisa wanajua baadhi ya nchi zipo within range ya missile kutoka iran ukiachilia mbali zile navy na zile shipping container yaani meli za maconatiner zilizobadilishwa na wairan zimekuwa mobile luncher za missile kwa style hii wanakuwa na missile ambazo zinafika sehemu kubwa sana ni kweli vita ndio ila outcome itakuwa mbaya sana maana muiran ayatollah regime imebet kwa israel if the regime falls na israel falls entirely kamq hao us na uk wanaweza kuishi nq hicho sawa ila pia expereince ya kupigana na hao us na uk kule yemen imeprove hola wahouth wamewashinda ila tu amani ni bora sana kuliko kitu chochote.Hamna kitu UK US na Washirika wakiamua ni kama kumsukuma Mlevi.
Jiulize why Iran ??? Turkey marekani na military base pale na pia ameweka nukes zake sasa ulitegemea nini ??Turkey pia inauza Drones za kisasa na Missiles kuliko Ayatolah lakini husikii ikianzisha Vikundi vya Wanamgambo Magaidi kwenye Nchi za Watu.
Ayatolah na Islamic Government yake wakitolewa Amani itarejea Yemen Lebanon Gaza na kwengineko.
Iraq ilishupaza shingo hivyo hivyo na ilikuwa na nguvu ikavamia Iran na Kuwait lakini US UK na Washirika wengine walitembeza kichapo cha haja hali kadhalika Iran itachapwa hivyo hivyo.Hii sio rahisi hata kidogo ni kweli nato wananguvu na ndio maana
Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili.
Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja. Inasemekana kuna intelligence agency mmoja chawa upande wa us amezivujisha habari hizo.
Bado haijajulikana kama israel itaendelea na mpango wake au itasitisha.
Source CNN.
View: https://youtu.be/NeV9eZUNerM?si=wXtWlOACknKybjn8
Ukiwa hapo bom bom kijiwe samli mwenyewe..🤣🤣Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Iraq ilishupaza shingo hivyo hivyo na ilikuwa na nguvu ikavamia Iran na Kuwait lakini US UK na Washirika wengine walitembeza kichapo cha haja hali kadhalika Iran itachapwa hivyo hivyo.
Nchi zote za Kiarabu hazimtaki Ayatolah zinasema anasambaza Uislamu wa Kishia.
Turkey ni Secular Government Iran ni Islamic Government hiyo ndio tofauti Iran lazima ivamiwe ili irudishwe kwenye Usecular kama ilivyokuwa kabla ya Maayatola.Ni kweli turkey anadrone ila shahed 136 ni stori nyingine kabisa muukraine anajua vizuri hilo
Hapa tunaongelea Secularism dhidi ya Islamic Government upande wa kuishi kwa Amani na majirani zake.Hizi habari za nchi za kiislam ni almaarufu sana kwenye viunga vya walokole