Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

Asante mkuu.🙏🙏
 
This logical fallacy is called appeal to authority.
Leo sina morari ya kuandika kiingereza; kwa manufaa ya wanaotaka kujua Sankara alisema nini juu ya ukichaa ni kuwa Sakara alisema wakati mwingine unaweza kuamua kuonekana kichaa ili uweze kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi. Hii ilitokana na Sankara Mwenyewe kukakataa mbinu za maendeleo zilizokuwa zimeamriwa na wahisani wa nje ikiwemo wb na nchi za magharibi kuwa zitumike nchini Burkina Faso huku mbinu hizo zikiwa zimeishathibitisha hazina manufaa huko zilipokuwa zimetumika!
 
Mwendawazimu huwa anamuona Kichaa ni mzima.
 
Tokea miaka ya 80 katikati shule za Dar almost zote, wanafunzi walikua wanakaa chini; mwamba alivopata madaraka tu, hata miezi sita haikufika, madarasa yote yakapata madawati, hospital ya muhimbuli Citiscan ilikua haifanyi kazi, MRI as well; mwezi mmoja tu ikaanza kufanya kazi; nenda kwenye ofisi yeyote ya serikali, fasta tulikua tunapata huduma, tena watoa huduma wanakuogopa. The only think ambacho Magufuli hakua nacho ni "demokrasia" yule jamaa hakua mwamini wa demokrasia kabisa BUT ndiye rais anaekumbukwa na wananchi wa kawaida miaka mingi. Anaebisha, weka link hapa, halafu ndani ya saa 24 uje utangaze matokeo. Day 1 anaingia Ikulu hadi kifo chake, hakukuwahi kua na kitu kinaitwa mgao wa umeme, what about maji majumbano? Lipa bill, maji yapo.
 
Ameacha alama ya maendeleo ya kiuchumi yenye kuthibitika, ijapokuwa ilikuwa kupitia alama na gharama za machozi, jasho, na damu kwa wanademokrasia.

Hakika, huyu alikuwa "benevolent dictator" ambaye alikuwa ni shabiki wa matokeo chanya kwa watu wa hali chini na kwa nchi yake. Pumzika kwa amani Hayati John Pombe. Viwqngo na matamanio yako ni kipimo tosha kwa yeyote yule ambaye ataishika nafasi ya cheo cha urais kwa nchi hii.
 
Natamani nikupe like million
 
Hayo hata Nyerere aliyasema, kabla ya Sankara, labda wewe hujui ndiyo maana unaona Sankara kasema something original.

Lakini pia, jilo halimaanishi kuwa hakuna kiongozi atakayekuwa na ukichaa wa kweli, sio huu ukichaa strategic.
 
Good article.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…