Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

Mimi ni msimamo wangu tu,na huwa nadhani kuwa nitakuja kusahau kutongoza. Sijawahi fikiri km ni tatizo bali huwa ninawawekea ngumu sana wanawake wengine kuipata nafasi ya kufanya utalii kwangu.
 
Upo vizuri kaka, ila siku mkeo akikupiga tukio uta kufa..
Halafu sasa mimi wa kwangu anajua kabisa kuwa huwa sipendi miyeyusho na nimejipanga na niko imara kabisa. Labda iwe ni lazima kutemana lkn eti kunijaribu aone itakuwaje wakati yy mwenyewe huwa anapewa live na wenzie kuwa kabahatika kupata mme ikiwa wao wana wanaume!
 
baki hivyohivyo
 
Aisee....yaani nimesoma hii thread yako mpaka mwisho....nimejiona ni mimi kabisa...hakuna kitu naona kinyaa kama kulala na wanawake wengi hovyo hovyo....hata mimi nina uwezo nikakaa mwaka mzima nikawa nimelala na msichana mmoja au wawili yaani hapo ni mwisho......nakumbuka kuna kipindi tulikua na project mikoani tulizurura almost kila mwezi ndani ya miaka mitatu.....lakini nililala na msichana mmoja tu tofauti (other than my girlfriend) huko mkoani.....nilikua nashangaa yaani mtu tumeenda sehemu ngeni lakini mtu anapata wapi ujasiri wa kulala na msichana ambaye hamjui....to me that was big no...
 
Katika vitu vimenishinda maishani ni kuchukua mwanamke nisiemjua ambae nimekutana nae tu iwe bar/club/njiani/kwenye bus/mtandaoni nk na kwenda kulala nae!

Mimi sina kinyaa ila tu niko selective sana lazima vigezo na masharti viwe vimezingatiwa. Kama ana vigezo stahiki na nimekutana nae ghafla ntachofanya ni kujitahidi nichukue namba, then lazima nichat nae kwa mda kdg nijue kama ana akili za aina gani, then nimtoe out nikae nae nimsome halafu ndio niamue kama nakula au nasepa.
 
Ipo hiyo wala sio ajabu, nikiwaza restriction za kungonoka na mchepuko kama vile, hakuna kulamba K wala tigo yake, naona sifurahii hakuna kujiachia .maana wengine tafsiri yetu ngono sio kupoga pump tuu....so huwez fanya hivo K na T za Wanawake tofaut tofaut hujui wanapitia wapi.
Mkeo/gf wako ni ulishaji sacrifice kiakili ila demu wa kupita inakuwa ni nyege tuu na si akili.
 
Mimi nikienda mkoa hua naona ni bora niingie gharama kusafirisha demu ninaemjua kuliko kuokota wa huko mitaani.
 
Hongera mkuu,maana huo ndio mtihani wa wanaume wengi sana,wanawake wenyewe wa siku hizi na mavazi wanayovaa,wengi uvumilivu unawashinda.Ila nakushauri uoe sasa...
 
It has something to do with low libido or testosterone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…