Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautamanu wanawake alafu haujawahi kupiga punyeto
Bado haujakamilika kuitwa mwanaume wewe ni mvulana Bado unakuwa niamini mimi mkuu
Mkuu, hivi huu ugonjwa wa macho haujapiga maeneo ya uko kwenu? Huenda ukawa umekutia upofu ili usione nyuchi za kupendeza
Mimi ni msimamo wangu tu,na huwa nadhani kuwa nitakuja kusahau kutongoza. Sijawahi fikiri km ni tatizo bali huwa ninawawekea ngumu sana wanawake wengine kuipata nafasi ya kufanya utalii kwangu.Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Halafu sasa mimi wa kwangu anajua kabisa kuwa huwa sipendi miyeyusho na nimejipanga na niko imara kabisa. Labda iwe ni lazima kutemana lkn eti kunijaribu aone itakuwaje wakati yy mwenyewe huwa anapewa live na wenzie kuwa kabahatika kupata mme ikiwa wao wana wanaume!Upo vizuri kaka, ila siku mkeo akikupiga tukio uta kufa..
baki hivyohivyoSalamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Aisee....yaani nimesoma hii thread yako mpaka mwisho....nimejiona ni mimi kabisa...hakuna kitu naona kinyaa kama kulala na wanawake wengi hovyo hovyo....hata mimi nina uwezo nikakaa mwaka mzima nikawa nimelala na msichana mmoja au wawili yaani hapo ni mwisho......nakumbuka kuna kipindi tulikua na project mikoani tulizurura almost kila mwezi ndani ya miaka mitatu.....lakini nililala na msichana mmoja tu tofauti (other than my girlfriend) huko mkoani.....nilikua nashangaa yaani mtu tumeenda sehemu ngeni lakini mtu anapata wapi ujasiri wa kulala na msichana ambaye hamjui....to me that was big no...Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Katika vitu vimenishinda maishani ni kuchukua mwanamke nisiemjua ambae nimekutana nae tu iwe bar/club/njiani/kwenye bus/mtandaoni nk na kwenda kulala nae!Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Mimi nikienda mkoa hua naona ni bora niingie gharama kusafirisha demu ninaemjua kuliko kuokota wa huko mitaani.Aisee....yaani nimesoma hii thread yako mpaka mwisho....nimejiona ni mimi kabisa...hakuna kitu naona kinyaa kama kulala na wanawake wengi hovyo hovyo....hata mimi nina uwezo nikakaa mwaka mzima nikawa nimelala na msichana mmoja au wawili yaani hapo ni mwisho......nakumbuka kuna kipindi tulikua na project mikoani tulizurura almost kila mwezi ndani ya miaka mitatu.....lakini nililala na msichana mmoja tu tofauti (other than my girlfriend) huko mkoani.....nilikua nashangaa yaani mtu tumeenda sehemu ngeni lakini mtu anapata wapi ujasiri wa kulala na msichana ambaye hamjui....to me that was big no...
Hana tatizo, yupo tofauti na wewe tu.Basi una matatizo hakuna mwanamume rijali asiyependa kufanya ngono na wanawake tofauti tofauti
Hongera mkuu,maana huo ndio mtihani wa wanaume wengi sana,wanawake wenyewe wa siku hizi na mavazi wanayovaa,wengi uvumilivu unawashinda.Ila nakushauri uoe sasa...Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant