Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

Uko kama njiwa. Ubarikiwe.
 
Hongera sana
 
Ehh unasema kweli eti? Km nikweli mkeo atafurahia sana maisha maana wanaume shida ni nyingi
 
Hongera mazee wapo watu wa dizain yako yupo jamaa namjua kabisa, ila kwa mimi hapana yni ipite yanshi tepetepe nisisimke no papuchi ntabadili adi umri ukienda ntatulia
 
Sasa si uendelee kutulia hivyo,hivyo
 
Hongera na mshukuru Mungu.
Naomba Mungu ubakie hivyo
 
Bahati hii ipo kwa wanaume wachache.

Inabidi ujivunie kuwa hivyo, unaepuka mengi sana yaliyo mabaya.

Kibaiolojia sisi binadamu tupo kwenye kundi la wanyama na ni wanyama kamili.

Mfumo wa uanaume wetu huendeshwa na hormone ya Testosterone, yaani kuanzia kutamani, kutaka na kufanya.

Hormone hiyo iki'collapse' mfumo wako wa kiume lazima uyumbe.

Ulivyo sema tu 'kinyaa' nikaelewa moja kwa moja kuna kasoro pahala.

Mwanaume yeyote asiye kasoro lazima atamani wanawake ovyo ovyo na hawezi kumwonea kinyaa mwanamke, hata kama ni wa barabarani wasiyefahamiana.

Ila kwa kuwa binadamu tumeumbwa na kupewa 'akili' ndiyo tukajiwekea mipaka ya kuchagua: mke, ndugu nk nk.

Kujifunga na kudili na mwanamke mmoja hutokana tu na maamuzi binafsi ambayo yanaweza yakafanywa na mtu yeyote, lakini tamaa juu ya wanawake haiwezu kumwepuka, ni kama vile kuamua kuacha anasa na atarehe, zingine .

Mwanamme yeyote akikatiziwa na mwanamke anayemvutia ni lazima 'ahahe' na kuchizika, iweje wewe uone kinyaa!

Utakuta hata kama ni kazee ka umri gani, akikatiza mwanamke mzuri mbele yake, utasikia kanakohoa 'koho koho koho', yaani kanaumia ingawa hakana cha kufanya!

Sembuse wewe kijana mdogo unaanza kuwaonea kinyaa wanawake, jitafakari buana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…