Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mkeo alisha kuloga utakuwa umeoa tanga wew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kama njiwa. Ubarikiwe.Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Upo wapi mkuu tuje tukuone, tufanye utaliiMkuu sijawahi na sitawahi kupiga Nyeto!
Mna shida nyieHana tatizo, yupo tofauti na wewe tu.
Wewe una enjoy kugalagala kwenye matope kama bata yeye anaona uchafu, hata mimi nipo kama yeye.
Hongera sanaSalamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Kabisa utulivu una faida nyingi sanaEnjoy ulivo
Usitamani kua kama wao
We DJ umepigaje hapo!Siwezi kufa mkuu nitamuacha nitatafuta mwingine,ijapokuwa ananipenda sana na mimi pia nampenda vilevile
Ehh unasema kweli eti? Km nikweli mkeo atafurahia sana maisha maana wanaume shida ni nyingiSalamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu anayenivulia chupi!
Sometimes huwa nikiwaga na washikaji zangu viwanja (Sehemu za starehe) wakati wenzangu baada ya kulewa wakitamani kila mwanamke mimi kwangu mambo huwa tofauti!,Kwanza huwa nikilewa sitakagi kabisa mambo ya wanawake wa kwenye ma-bar!, hadi jamaa wananiitaga kuwa nina misimamo!
Kiukweli mimi huwa nikinywa pombe huwa sitaki kufanya ngono/mapenzi na mwanamke ambaye sijamzoea au ambaye si mwanamke wangu!!
Huwa nikisafiri kuelekea mikoani kwenye shughuli zangu naweza kukaa hata mwaka bila kufanya ngono kwasababu huwa nina kinyaa mno kufanya ngono na mwanamke tofauti na niliyemzoea,kiukweli huwa naonekana kituko lakini hivyo ndivyo nilivyo!
Huwa sitamani ovyo wanawake barabarani hata akiwa mzuri vipi,kiukweli hadi huwa najishangaa nikoje lakini uenda hivyo ndivyo nilivyo,na nadhani hali hii pia imepelekea kusevu pesa ya kutosha kwasababu kama tujuavyo wanawake wengi ni wanyonyaji kama kupe!
Huwa nikiwa na mwanamke nikiyemzoea naenjoy sana na huwa namfaidi sana na huwa nikiwa peke yangu sitamanigi kabisa mwanamke mwingine tofauti na niliyemzoea!, Mwanzo nilidhani uenda likawa limbwata lakini huwa nikikosana na mwanamke wangu niliyemzoea tukaachana huwa inanichukua muda mrefu hadi tena kuja kutafuta mwanamke nitakayempenda na kuzoeana naye kisha tukaanzisha mahusiano!.
Huwa nawashangaa sana washikaji zangu ambao kila Bar tutakayoenda ni lazima watoke na wanawake,kiukweli kwangu huwa tofauti na huwa nina kinyaa sana na wanawake ambao huwa hatujazoeana!.
Nimewahi kujaribu kuwa kama washikaji zangu lakini nikashindwa kwasababu naonaga kama mwanamke ambaye sijamzoea ni mchafu kuliko kawaida!
Wakuu nyie mnawezaje kuwa na michepuko kila kona?
Sasa si uendelee kutulia hivyo,hivyoSalamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant

Hongera na mshukuru Mungu.Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant

Kumbe wanaume wa hivi Bado mpo!Sawa mkuu kama ndivyo basi mimi nitakuwa dhaifu!
Bahati hii ipo kwa wanaume wachache.
Inabidi ujivunie kuwa hivyo, unaepuka mengi sana yaliyo mabaya.
Kibaiolojia sisi binadamu tupo kwenye kundi la wanyama na ni wanyama kamili.Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant