Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

Kwasasa kila kitu kipo wazi
Mwarabu ndio mwenye shilingi

Na Netanyahu lazima apigwe chini na Waarabu

Sioni kwa vipi Netanyahu kuweza kuwa waziri mkuu
Viti 53
Mwenzie 48
Mwarabu 19
Kuna nini tena

Wenyewe hawezi kuungana lazima Mwarabu hapewe
Salam aleykum Kila asubui
njia nyengine ni
Moja tu
Uchaguzi mpyaa ufanyike 😳
 
Kwa Iranian yoyote pale Israel wampe cheo
Mana kombora zake zinaweza kumzika popote alipo

Iranian anaweza kupiga popote kwenye kale kaeneo kadogo !!

Tena yule mwehu ndio wanaemtaka mana
japo ataweza kuchokoza mzinga wa Nyuki
 
Mbona wanachelewa sana kuhesabu kura pamoja na teknolojia yote waliyonayo?

CCM wakawasaidie.
Oya wale wezi alishatusanua Nape Nnauye kisha yule Bwana akiitwa Amos Makala kipindi hicho akiwa DC sijui RC sijui Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama akaja kukingia kifua chama kwamba bwana yule km yeye ndio anaiba basi anaiba yeye hiki chama hakiibi kura, ilikua mwaka 2024 hio lakini ukiangalia ukweli umeshasemwa na kila mtu ameshajua ukweli jinsi ulivyo na hapo kabla huyo huyo alishasanua watu kuhusu bao la mkono ushaelewa nini namaanisha, kuna ndugu yangu alipigaga picha na nape by that time akawa ameeiweka kwenye DP yake ya WhatsApp alipoona nape katumbuliwa akiwa Mlimani City jamaa akashusha ile picha akaweka picha ya mwanae
 
ndo hivyo,Netanyahu`s block is leading,hayo mengine ni ya kwako wewe
 
Wachungaj wasingeweza kusema ukweli juu ya kile kipo pale Palestine au Israel

Wenyewe kudanganya waumini wao ndio kunafaida kwao

Kwenda kufanya hijja Israel ‼️ 😳

kumbe wanapelekwa Palestine Ukingo wa Magharibi βœ…

Israel kumejaa Wakristo
watakatifu πŸ˜³πŸ˜³β—

Ukweli kumajaa Usodoma bin Ushoga βœ…

Lkn Mizwazwa kondoa waliopotea wenyewe wanapenda kudanganywa danganywa 😳

Waumini kwao kweli mwiko ukitaka wakimbie Kanisa Waambie kweli
Kanisani kwako
wanakukimbia ❗
 
Wanataka kusikia tu Mwarabu ni Gaidi pale Israel

Na Waisrael ni wenye wema watakatifu wasiojua kuuwa mwengine
wenye uruma nyingi na upendo mwingiiiii

Waarabu ni wachokozi sana na ni Magaidi
Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa YESU

Watakatifu wa YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn

Kwao haki ukweli ni marufuku
Bado wanaimba Aleluyaaaaa

Ukweli wana Mungu au ni jini Shetani kwao ndio Mungu wao

Mana Mungu hapendi uwongo mauaji kwa viumbe wake ‼️

Wanafuga jini moyoni wanajua ndio Mungu
 
Pengine salama ya Netanyahu kwasasa ni kufanya
miujiza

Hili Uchaguzi urudiwe Upya 🀠
 
Kinyume chake
Mwarabu anaenda kuungana na mpinzani wa Netanyahu

Yumkin ktk Waarabu wakateuliwa kuwa mawaziri Sekta kadhaa ✍️
 
Kinyume chake
Mwarabu anaenda kuungana na mpinzani wa Netanyahu

Yumkin ktk Waarabu wakateuliwa kuwa mawaziri Sekta kadhaa ✍️
Haitakuwa mara ya kwanza mbona waarabu wameshakuwa sana mawaziri hapo Israel kama ambavyo waisrael wamekuwa mawaziri kwenye nchi za kiarabu kama Morocco Tunisia Egypt
Hata Rais wa Sasa wa Egypt ni myahudi
 
Kiongozi wa vyama waarabu kasema amepigiwa simu na kambi zote mbili,ya netanyahi na mpinzani,wanataka kolabo
 
Rais wa Israel Herzog anata upinzani na netanyahu washirikiane kuunda serikali, netanyahu aongoze miaka miwili ajiuzulu,yote hii kuwakwepa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…