- Thread starter
- #41
zavijiweni kwenu mkishavuta bangiKati ya matusi mabaya kabisa kwa mwanaume, miongoni mwake ni yafuatayo;
1. Mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile.
2. Kugongewa mke
3. Kulipiwa mahali
4. Kugawa kadi ili uchangiwe kwa ajili ya kufanya harusi.