Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

hata wewe ulizaliwa wakati mamilioni watu duniani washazaliwa. lkn maisha yako tofauti na waliopita
Hata Uislam ulianzishwa na Mudi na kuulazimishia kwa watu kupitia Upanga, kwa namna ulivyoenezwa na maisha ya sasa hauna nafasi tena
 
huwezi kupata mke kama huna mahari
Mahali ni kiasi gani??
Milioni ngapi??

Ishu sio mahari bro, ishu ni kivipi mtasurvive mkioana.
Mahali ambazo anataja mwanamke nani atashindwa kumudu, mahali zisizozidi laki 5, mtu anataka msaafu tu, mwingine komesha kabisa akataka buku 5 tu.
 
Hata Uislam ulianzishwa na Mudi na kuulazimishia kwa watu kupitia Upanga, kwa namna ulivyoenezwa na maisha ya sasa hauna nafasi tena
Endelea na mawazo yako hayo, bibi yako aliekufa akiwa sio muislam huko aliko angaliona maandishi haya angalikupiga kibao kwa upuzi uliaondika
 
Kuoa na riziki havifungamani..kumbuka Kuna mabachela na inakuwa vigumu kupata riziki ya chakula ndugu....
Mahali ni kiasi gani??
Milioni ngapi??

Ishu sio mahari bro, ishu ni kivipi mtasurvive mkioana.
Mahali ambazo anataja mwanamke nani atashindwa kumudu, mahali zisizozidi laki 5, mtu anataka msaafu tu, mwingine komesha kabisa akataka buku 5 tu.
DADA YAKO YUPO ANAETAKA HIVYO NILIKULETEE KIDUME KIJE KUMCHUKUA?
 
Hawakulazimishwa. waliojitokeza walikwama mahari. lkn kuhusu kuendesha maisha yake wanasema watayamudu
Waliolewa na hao majamaa sio wanawake sahihi.. mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya dini hadai mahari kubwa ikiwa anaetaka kumuoa Hana uwezo WA kumpatia mahari hiyo..Ina maana walioshindwa kutaja hata mas-hafu???
 
Wewe dada yako umemuozesha kwa biblia tu? au katika ukiristo hakuna hivyo lazima ulipe ngombe 100?
 
Unawalipia watu mahari ? Pesa ya kuendesha maisha yao Je? Mahari kijana anatakiwa aitafute na kuilipa mwenyewe , hiyo ndio dalili ya kuonesha utayari wa kuanzisha familia na kuiendesha
Akiliz za kuku uliokuwa nazo wewe. kama serekali inakusomesha kwa bodi ya mkopo halafu ajira unatafuta mwenyewe
 
Back
Top Bottom