Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

Malaria 2 unajifanya muislamu mfia dini..
Baada ya kujibu watu vizuri kwa majibu ya misingi ya dini ..ww unajibu kwa kebehi,na kejeli...si unyamaze tu kama unaona jibu la kumpa mtu huna...
Unafanya dini nyingine waanze kuuchukia uislamu... badilika...
 
Nawajibu vizuri tu, nani nimejibu vibaya? wanaochukia waislam ni wale wanaofuta Propaganda za wasiokuwa waislam
 
Na dini nyingine wakija je wataruhusiwa kubadirisha dini au ndo unabaki na dini yako
 
hahahaha. unafurahisha sana. katika uislam kuna process za kuachana. dini nyengine kuachana na kudhuriana maisha
Hakuna tunawaona talaka 3 chukua sikutaki ndio imeisha unavuta kipya mnaraha ila mnadhambi
 
Hivi kijana aliyelipiwa mahari na 'TASAF' na akaaibishwa Kwa TV dunia nzima, anaweza 'kuvimba' ndani ya himaya kweli?
Dah! Madogo mmepoa sana asee
 
Weka mawasiliano ya hiyo taasisi tusaidie vijana humu, maisha magumu mpaka wengine wanaishia kujifanya kataa ndoa.
 
Back
Top Bottom