zavijiweni kwenu mkishavuta bangiKati ya matusi mabaya kabisa kwa mwanaume, miongoni mwake ni yafuatayo;
1. Mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile.
2. Kugongewa mke
3. Kulipiwa mahali
4. Kugawa kadi ili uchangiwe kwa ajili ya kufanya harusi.
Sawa ,,,Kwahiyo faida ya ndoa ni kulipiwa mahari ?Hujui faida ya ndoa
hapo juu nilikujibuje hata ukaniambia sijui kituUpande wa kiume kwa mfumo wa ndoa za kawaida
. faida ya ndoa kwa mwanamme kwa mwanamke ni kutoa maji yako ya uzazi kwa mwanamke badala ya kumbaka ngombe au mbuziSawa ,,,Kwahiyo faida ya ndoa ni kulipiwa mahari ?
swala lako nini hasa la msingi?hapo juu nilikujibuje hata ukaniambia sijui kitu
huwezi kupata mke kama huna mahariKwani ishu ni mahali au kuishi na huyo mke!!
Misingi ya ndoa ilianzishwa kabla ya kuwepo kwa hizi dini Ref Eden Garden. Kusema misingi ya ndoa iliwekwa na dini ni Matatizo tu. Misingi kwa Utashi wa dini ni ubatili tu kwa sababu Kuna watu wameweka viutaratibu vyao vingi vingi tu havina maana.watapatiwa , uislam ndio dini pekee ilioweka misingi mizuri katika ndoa
hata wewe ulizaliwa wakati mamilioni watu duniani washazaliwa. lkn maisha yako tofauti na waliopitaMisingi ya ndoa ilianzishwa kabla ya kuwepo kwa hizi dini Ref Eden Garden. Kusema misingi ya ndoa iliwekwa na dini ni Matatizo tu. Misingi kwa Utashi wa dini ni ubatili tu kwa sababu Kuna watu wameweka viutaratibu vyao vingi vingi tu havina maana.
Zipo vipi? zifafanue za Tibet
Nimekosoa Nini ,Mimi nimeshauri wapewe na elimu ya ufundi na mtaji mdogo baada ya ndoa watunze familia sheikh mbona una jazba sana!?sasa hapa mbona umekuja kukusoa wakati wewe umeozeshwa katika mfumo huo?
Hivyohivyo, kwa hiyo wewe kugongewa mke, kuingiliwa kinyume, kuchangiwa harusi na kuchangiwa mahali kwako ni sunna?zavijiweni kwenu mkishavuta bangi
kazi ya kutoa mtaji na elimu uifanye wewe, wao wametoa mahari wewe walipie mtajiNimekosoa Nini ,Mimi nimeshauri wapewe na elimu ya ufundi na mtaji mdogo baada ya ndoa watunze familia sheikh mbona una jazba sana!?
Dini inakushinda mda si mrefu
Sawa nitawapa mtaji we fanya kazi ya kunipa orodha Yao!kazi ya kutoa mtaji na elimu uifanye wewe, wao wametoa mahari wewe walipie mtaji
Nenda Alhikma foundation utapata majina yao na utaratibu watakupaSawa nitawapa mtaji we fanya kazi ya kunipa orodha Yao!
Kama mwanamke unayemuoa anataja mahari kubwa kuliko uwezo wako, alafu ukachangiwa na watu hiyo mahari ili umuoeYapo. mahari ni ridhaa ya mwanamke. sasa akikwambia mili 2 na wewe huna uwezo?
Umeamua kujibu kama kujibu tu ππMisingi ya ndoa ilianzishwa kabla ya kuwepo kwa hizi dini Ref Eden Garden. Kusema misingi ya ndoa iliwekwa na dini ni Matatizo tu. Misingi kwa Utashi wa dini ni ubatili tu kwa sababu Kuna watu wameweka viutaratibu vyao vingi vingi tu havina maana.
Kuna watu wanajiua kwa mapenzi, wakikataliwa wanajiua utadhani kaumbiwa yeye tuKama mwanamke unayemuoa anataja mahari kubwa kuliko uwezo wako, alafu ukachangiwa na watu hiyo mahari ili umuoe
Hapo wote huyo mwanamke na huyo anayemuoa wote HAWANA AKILI
Ooops I've been thinking abt you, glad to see you're still aroundUmeamua kujibu kama kujibu tu ππ