Utafiti wa nini na wewe unaelewa, si elezea hapa.Wahindu na Budha wako vizuri katika misingi ya ndoa kuliko Islam fanya tafiti
Tumia simu yako kutafuta mawasiliano, google "Al Hikma Foundation mawasiliano".Weka mawasiliano ya hiyo taasisi tusaidie vijana humu, maisha magumu mpaka wengine wanaishia kujifanya kataa ndoa.
Waislam tunaamini mtowa rizki ni Allah pekee, hayo uyasemayo hayatusumbuwi kichwa kabisa.usaidiwe mahari badala ya nyenzo ya kulisha familia...
masihara yamekuwa mengi
= mahariUkishaoa kipi kinafuata,watakula mahali
USSR
Kwani siku zote mnaoowana mnakula nini? Mkiowana kitaongezeka nini zaidi ya mnachokila sasa?Unanisaidia mahari,, chakula je ,mambo ya masihara haya sana.
Kwanini wasiwapatie nyenzo za kuendesha maisha ?
mahariKati ya matusi mabaya kabisa kwa mwanaume, miongoni mwake ni yafuatayo;
1. Mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile.
2. Kugongewa mke halafu unajifanya kuvumilia (kwa sababu youote ile)
3. Kulipiwa mahali
4. Kugawa kadi ili uchangiwe kwa ajili ya kufanya harusi.
= mahari.Kwani ishu ni mahali au kuishi na huyo mke!!
Ulijuwaje kama hawana taaluma au fani zao kabla hawajaowa?Nimekosoa Nini ,Mimi nimeshauri wapewe na elimu ya ufundi na mtaji mdogo baada ya ndoa watunze familia sheikh mbona una jazba sana!?
Dini inakushinda mda si mrefu
Unaonesha mjadala umekushinda, tafadhali kama haujuwi maana ya "sunna" usitutukanie Uislam wetu.Hivyohivyo, kwa hiyo wewe kugongewa mke, kuingiliwa kinyume, kuchangiwa harusi na kuchangiwa mahali kwako ni sunna?
Hayo unatakiwa umuelekeze huyo ndugu yako niliyemjibu.Unaonesha mjadala umekushinda, tafadhali kama haujuwi maana ya "sunna" usitutukanie Uislam wetu.
Mwelekeze wewe, au umejazwa ujinga ukakujaa?Hayo unatakiwa umuelekeze huyo ndugu yako niliyemjibu.
Wewe sio mwanaume huezi elewa hili.Kwani siku zote mnaoowana mnakula nini? Mkiowana kitaongezeka nini zaidi ya mnachokila sasa?
Ujinga huo.
Bila shaka umeelewa kilichokusudiwa na ndio lengo la huo ujumbe hapo.= mahari.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sawa.uvunjifu wa haki za binaadam huo, kumyima haki mwanamke kitu ambacho uislam unakipiga vita mno