Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

Wahindu na Budha wako vizuri katika misingi ya ndoa kuliko Islam fanya tafiti
Utafiti wa nini na wewe unaelewa, si elezea hapa.
Nijuavyo mahindu mwanamke ndiye anaetowa mahari, wanaita (dowry) au ndicho umekipendea hicho?
 
Weka mawasiliano ya hiyo taasisi tusaidie vijana humu, maisha magumu mpaka wengine wanaishia kujifanya kataa ndoa.
Tumia simu yako kutafuta mawasiliano, google "Al Hikma Foundation mawasiliano".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Unanisaidia mahari,, chakula je ,mambo ya masihara haya sana.
Kwanini wasiwapatie nyenzo za kuendesha maisha ?
Kwani siku zote mnaoowana mnakula nini? Mkiowana kitaongezeka nini zaidi ya mnachokila sasa?

Ujinga huo.
 
Kati ya matusi mabaya kabisa kwa mwanaume, miongoni mwake ni yafuatayo;

1. Mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile.
2. Kugongewa mke halafu unajifanya kuvumilia (kwa sababu youote ile)
3. Kulipiwa mahali
4. Kugawa kadi ili uchangiwe kwa ajili ya kufanya harusi.
mahari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nimekosoa Nini ,Mimi nimeshauri wapewe na elimu ya ufundi na mtaji mdogo baada ya ndoa watunze familia sheikh mbona una jazba sana!?
Dini inakushinda mda si mrefu
Ulijuwaje kama hawana taaluma au fani zao kabla hawajaowa?
 
Hivyohivyo, kwa hiyo wewe kugongewa mke, kuingiliwa kinyume, kuchangiwa harusi na kuchangiwa mahali kwako ni sunna?
Unaonesha mjadala umekushinda, tafadhali kama haujuwi maana ya "sunna" usitutukanie Uislam wetu.
 
Back
Top Bottom