Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
YEYE MWENYEWE AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA HAPA HAI, KWELI ATAKUWA AMEPATA IKULUU.23 September 2020
Hai, Kilimanjaro..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEYE MWENYEWE AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA HAPA HAI, KWELI ATAKUWA AMEPATA IKULUU.23 September 2020
Hai, Kilimanjaro..
Hiyo hiyo lakini inawapelekesha mpaka mnaomba msaada toka tume ya uchaguzi iwasaidie kuwaengua wagombea wa Chadema bila sababu za msingi, nyie endeleeni kujitia upofu tu.Yaani Chadema hii hii ambayo haina hata jengo la Ofisi kwa miaka 20 ndio wafanye yote hayo kwa muda wa siku 100??
Msitudanganye makamanda.
Diwani mmoja ndio kitu gani, hapo Hai Mbowe anachukua jimbo na madiwani wote, na mkileta ule ujinga wenu wa kuwatuma walevi walete upuuzi wao watachapwa mbele ya polisi, msijaribu kuleta utoto wenu kwenye hii mechi ya fainali hautavumiliwa tena.YEYE MWENYEWE AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA HAPA HAI, KWELI ATAKUWA AMEPATA IKULUU.
Yaani Chadema hii hii ambayo haina hata jengo la Ofisi kwa miaka 20 ndio wafanye yote hayo kwa muda wa siku 100??
Msitudanganye makamanda.
Sasa kama anauhakika wa kushinda, si atoke huku hai aende kumsaidia kampeni yule JAMAA yenuu?? Mbowe hali ni mbaya hapakwetu hai. Na hata afanyejee hapati hata diwani wa dawaa, tumechoka na kiki zenuDiwani mmoja ndio kitu gani, hapo Hai Mbowe anachukua jimbo na madiwani wote, na mkileta ule ujinga wenu wa kuwatuma walevi walete upuuzi wao watachapwa mbele ya polisi, msijaribu kuleta utoto wenu kwenye hii mechi ya fainali hautavumiliwa tena.
Kwani kuna tofauti gani na pale Tanganyika ilipokuwa inapata uhuru wake toka kwa mkoloni mweupe wa awali? Je! TANU ilikuwa na majemgo ya namna gani ya ofisi zake?Yaani Chadema hii hii ambayo haina hata jengo la Ofisi kwa miaka 20 ndio wafanye yote hayo kwa muda wa siku 100??
Msitudanganye makamanda.
Ndoto za mchanaSerikali ikishaapishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ni Kurudisha umoja wa kitaifa kwa kuleta maridhiano. Hivyo wanaCCM wasiwe na hofu.
Magufuli kamshindwa Mbowe ndio uje uweze wewe kapuku mtozeni , mtegemea hisani ? Nyie jipigieni hela za mwisho mwisho za kibwege hapo , mnang'olewa muda si mrefuUnaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!
Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!
Tanzania kuna vituko!
Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati. Mpeni kura kama zote. Muziki wake ukichanganya na wa LISSU Tanzania itapona.
ingekuwa enzi za jf makini ungeishalambwa Ban ya mweziHakika Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!!!!!View attachment 1578963
Mkuu, matapeli hao na mwisho wao ni Oktoba 28Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Sawa msemaji ukweli, hizi ni picha za kutengeneza za pasoti saizi! Tunaomba utuwekee hapa picha halisi ili tusikuone Wewe ndo msemaji uongo!Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Naona kuna Fuso pembeni!Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Fake newsHakika Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!!!!!View attachment 1578963
Hao wote wamelipwa buku 2000 mbili ili wajae noma sana.Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
Waziri Mkuu wa JMTKumekucha
Nilikuwa namsubiria huyu awayambishe mifisiem
Uvumilivu wako Mheshimiwa ni Tunu ya Taifa
Umepitia mengi
All the Best Mkuu