Uchaguzi 2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

Uchaguzi 2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

Hizi taarifa kwamba anazomewa Mheshimiwa Mbowe baadhi ya Kata Ni kweli !? Au ni usanii kwenye mitandao !? Wapo watu wana tabia chafu Sana za kuchafua watu kwa maslahi yao !
 
Wana bodi tuleteeni maendeleo ya Kaka Mbowe Jimboni kwake, Mbona ukimya umekuwa mwingi mnoo.

Tunataka kujua hali ya kampeni kwa Mwenyekiti wetu. Huu Ukimya unatutia hofu.
Mwenye kufahamu uchaguzi wa Kule Jimbo la Hai ni mbunge wetu wa Bukombe, Mh Doto Biteko. Alimtuma kijana wake akapambane na mbowe Ila doto biteko Kuna kila dalili ataabika.
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Ni mbowe mwenyewe kayaandika na kuwagawia kwa vitisho, si unaona hata hawana furaha !!🤣🤣🤣
 
Mtaumia sana roho zenu za kichawi baada ya mpuuzi wenu mnayemtumia kudhibitiwa na wananchi , na kubwa linakuja , tusilaumiane .

Liwalo na liwe !
Mkuu wangu mbona umeungaunga tupicha hivyo ? Kama vya mgombea udiwani na ilihali ni mgombea ubunge tena mwenyekiti wa chama kikuu ! Unafeli wapi ?
 
Ccm hiki kinachofanyika kwa uchaguzi huu ndani ya chadema hamtakaa mkijue. Ukimya was mbowe unamshindo mkuu.Fkilia Yale magalasa yaliyo jiengua na kuingia ccm yalitaka kujua chochote yakabiwa uchaguzi in process hivyo uchaguzi ndani ya chadema ulianza mapema,ndo maana mipango ilubaki kwa wachache wenye moto mkuu
 
Tulia dawa ikuingie taratiibu.
hakuna dawa inayoingia, labda wewe unayejiita mgonjwa
mtaji wenu hua ni watu wa vijijini ambao hawana elimu, wakiona ndege na madaraja wakishangaa ndio mumeona kwamba mnahitaji miaka mingine mitano, kumbe lundo la watu maskini linaendelea kushamiri
 
CCM huu ni muda wa kuumbuka!! Hamna pa kutokea safari hii.
 
hakuna dawa inayoingia, labda wewe unayejiita mgonjwa
mtaji wenu hua ni watu wa vijijini ambao hawana elimu, wakiona ndege na madaraja wakishangaa ndio mumeona kwamba mnahitaji miaka mingine mitano, kumbe lundo la watu maskini linaendelea kushamiri
Tulia dawa ikuingie taratiibu.
 
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.

Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.

Mbowe ameshapita huko Hai safi sana wana Hai ila kale ka-DC katafutieni namna.
 
Ni ngumu sana kumlaghai mchagga kwa nishati ya umeme barabara,elimu,pesa,chakula,hudumaza afya na kadhalika huku kilimanjaro kulisha kucha zamani sana watu binafsi wana kila kitu anachostahili kuwa nacho mwanadamu. huku ukija na kusema msiponichaguwa sitowaletea barabara watakucheka. tunachokitaka ni mabadiliko ya kimtizamo juu yetu na uzungumze kuhusu fursa za pesa au uje kijikosowa. CCM NJOOENI MCHEKWE KISHA MRUDI CHATTO
 
Propaganda, sio kweli uchaguzi huu wa 2020. Sitaki kutapika. Lakini mnafanya mtu akishindwa inasemekana kaibiwa kura, tunapunguza uwezo wa kujirekebisha, na ni kweli Wachaga sio Mapoyoyo..
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Maumivu ya kichwa huanza taraaatibu jiangalie usijekufa na kihoro
 
Yaani picha zimeungwa ungwa alafu unasema DJ wenu apokelewa kwa shangwe ! Acheni usanii chadomo!, HUU USANII TUNAWASUBIR 28 OCT MPOTEANE!
Mwandishi wa mabago ni mtu mmoja, na kalamu ile ile......hahahaha! Kadema mwaka huu lazima mtage tu!
 
Back
Top Bottom