Uchaguzi 2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

Uchaguzi 2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

Mtaumia sana roho zenu za kichawi baada ya mpuuzi wenu mnayemtumia kudhibitiwa na wananchi , na kubwa linakuja , tusilaumiane .

Liwalo na liwe !
Mkuu mbona unapanic mapema sana! Wanaoangalia mambo kwa jicho la tatu wakutwange spana
 
Kuna nyumbu bata maji walileta taarifa hapa jana usiku kwamba Mwamba alizomewa jana na mkutano ukavunjika.
Nitashangaa sana Admins wa Jf kama hawata mpiga ban..
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Ukiangalia vizuri picha ya kwanza na ya pili hayo mabango yana miandiko tofauti, unajitoa akili makusudi kujifurahisha tu, Mbowe ndie mbunge myfriend, msijidanganye kuwatuma wale vichaa walete vurugu this time, watajuta.
 
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.

Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.

Waziri mkuu huyu.
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Ole alichukua tenda ya kuandika mabango
 
Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!

Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!

Tanzania kuna vituko!
Bora iyo kuliko kumpa mtu kofia unakuja kumnyang'anya unampa mwingine
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!

Ila watu mnachunguza, kweli mabango yanamwandiko mmoja hafu ya mabox, mtu hajaingia gharama kununua kitambaa na rangi
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!

We zwazwa.....!

Kwani mabango ya ccm na magufuli mliyosambaza nchi nzima yameanfikwa na watu wangapi?
 
Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!

Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!

Tanzania kuna vituko!

Kuna tofauti gani ya kubeba watu kwenye malori na trailer za trekta kutoka sehemu tofauti nje ya eneo la kampeni ili tu kujaza uwanja na mkiwapa na 5,000 na 10,000?

Jibu ni rahisi sana;

Kwamba, hata kama Mbowe kafanya vile sawasawa na fikra zako, zote hizo ni mbinu za kisiasa kulughai (ku - fake) wapiga kura kuteka nyara maamuzi yao...

Akifanikiwa, then tutasema....He is very successful. He has succeeded...!

Hii ndiyo njia kubwa wanayoitumia CCM ktk kampeni zao....

Yaani, UONGO,UONGO, UONGO....Ku - FAKE, Ku - FAKE ...... Everything and all the time FAKING....
 
Wana bodi tuleteeni maendeleo ya Kaka Mbowe Jimboni kwake, Mbona ukimya umekuwa mwingi mnoo.

Tunataka kujua hali ya kampeni kwa Mwenyekiti wetu. Huu Ukimya unatutia hofu.
 
Nasikia jama wamachame wamechomoa betri kwa lugha nyingine tunaweza kusema amezomewa.
 
Back
Top Bottom