Uchaguzi 2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

Akitajwa Mbowe vishankupe vya ccm humu jf vinakurupuka mithili ya vibinti vya buza kwa lulenge vinavyokurupuka vikisikia kigodoro
Wewe na Mbowe zitumieni kampeni za mwaka huu kuaga majimboni kwenu. Hamna nafasi ya kurudi, labda kama utabahatisha kupenya kwenye viti maalum.
 
9
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Sio issue hata mabango yenye matangazo ya Magu yameprintiwa na mashine moja.
 
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.

Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.

Hongera mwamba. Wavushe wana Hai.
 
najaribu kuangalia hizo sura za hao akina mama zinaeleza mengi sana
 
Sawa mkuu tufanye yameandikwa na mtu mmoja,,,sasa pitia hizi video hapa chini usuuze roho yako mdogo wake na JIWE.
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
NI YEYE 2020-2025
 
Attachments

  • DIg-bHaiJC-xzGq-.mp4
    3.9 MB
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
kwahio hoja yako hapo ni ipi ..mwandiko kwahio ni kosa la jinai mtu mmoja kuandika mabango tofauti..
 
Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!

Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!

Tanzania kuna vituko!
Mapicha picha tuu Huyu Mbowe...
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
kwani umekasirika?
 
Mbowe huyu huyu muangushwa konyagi na kusingizia watu wasiojulikana?
tatizo hua mna leta personal attacks badala muongee ya watanzania, yanayohusu watanzania, shida zao, umasikini wao, changamoto zao, mnaongea mambo ya konyagi, wewe mwenyewe hapo mlevi, kwani kunywa nchi hii ni kosa la jinai,
 
Chadema kimechoka yaani hayo mabox ya kuokota jalalani ndio mabango
 
Wananchi wamechoka kwa umasikini, naona wale walevi aliwapoza wangemtoa baru
 
Hao ni wanachi wanyonge mlioua uchumi wao ,hapo hata kula sidhani kama wamekula lakini kwa mapenzi yao wanasema "NI YEYE[emoji3577] 2020-2025"
Chadema kimechoka yaani hayo mabox ya kuokota jalalani ndio mabango
 
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.

Mwandiko huwa haujifichi!

Mbowe aache usanii!

Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!

Tanzania kuna vituko!
Zanzibar kuna mgombea wa rais anapita nyumba kwa nyumba
 
Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!

Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!

Tanzania kuna vituko!
Mbona CCM kule Kigoma kaprinti picha Facebook kampa mzee wa watu
 
Naona mpiga picha alikuwa analazimishwa achuchumae kabla ya kupiga hizi picha, dalili mbaya hii kwa kamanda wa anga.
Hai ni Vijijini ambako watu wako serious sio kama kwenu, hapo hata umlete msanii watu wanaangalia mifugo yao nyumbani na mashamba
 
Back
Top Bottom