Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Akitajwa Mbowe vishankupe vya ccm humu jf vinakurupuka mithili ya vibinti vya buza kwa lulenge vinavyokurupuka vikisikia kigodoroHao wote wamelipwa buku 2000 mbili ili wajae noma sana.
Meko's thought
Wewe na Mbowe zitumieni kampeni za mwaka huu kuaga majimboni kwenu. Hamna nafasi ya kurudi, labda kama utabahatisha kupenya kwenye viti maalum.Akitajwa Mbowe vishankupe vya ccm humu jf vinakurupuka mithili ya vibinti vya buza kwa lulenge vinavyokurupuka vikisikia kigodoro
Huko Hai wanaiona CCM kama laana kwao.Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Sio issue hata mabango yenye matangazo ya Magu yameprintiwa na mashine moja.Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Hongera mwamba. Wavushe wana Hai.Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
Hii barua yako ya kughushi umesahau kuandika tareheHakika Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!!!!!View attachment 1578963
najaribu kuangalia hizo sura za hao akina mama zinaeleza mengi sanaMwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
NI YEYE 2020-2025Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
kwahio hoja yako hapo ni ipi ..mwandiko kwahio ni kosa la jinai mtu mmoja kuandika mabango tofauti..Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Mapicha picha tuu Huyu Mbowe...Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!
Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!
Tanzania kuna vituko!
watu wanakufa na umasikini, achaneni kutambishiana picha za mafurikoNa hizo picha zilivyowekwa ni usanii mtupu. Ni ile ile staili ya " mafuriko" iliyozoeleka.
kwani umekasirika?Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
tatizo hua mna leta personal attacks badala muongee ya watanzania, yanayohusu watanzania, shida zao, umasikini wao, changamoto zao, mnaongea mambo ya konyagi, wewe mwenyewe hapo mlevi, kwani kunywa nchi hii ni kosa la jinai,Mbowe huyu huyu muangushwa konyagi na kusingizia watu wasiojulikana?
Chadema kimechoka yaani hayo mabox ya kuokota jalalani ndio mabango
Zanzibar kuna mgombea wa rais anapita nyumba kwa nyumbaCha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Mbona CCM kule Kigoma kaprinti picha Facebook kampa mzee wa watuUnaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!
Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!
Tanzania kuna vituko!
Hai ni Vijijini ambako watu wako serious sio kama kwenu, hapo hata umlete msanii watu wanaangalia mifugo yao nyumbani na mashambaNaona mpiga picha alikuwa analazimishwa achuchumae kabla ya kupiga hizi picha, dalili mbaya hii kwa kamanda wa anga.
Tulia dawa ikuingie taratiibu.watu wanakufa na umasikini, achaneni kutambishiana picha za mafuriko