BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mkuu mbona unapanic mapema sana! Wanaoangalia mambo kwa jicho la tatu wakutwange spanaMtaumia sana roho zenu za kichawi baada ya mpuuzi wenu mnayemtumia kudhibitiwa na wananchi , na kubwa linakuja , tusilaumiane .
Liwalo na liwe !
Ukiangalia vizuri picha ya kwanza na ya pili hayo mabango yana miandiko tofauti, unajitoa akili makusudi kujifurahisha tu, Mbowe ndie mbunge myfriend, msijidanganye kuwatuma wale vichaa walete vurugu this time, watajuta.Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Waziri mkuu huyu.Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
Ole alichukua tenda ya kuandika mabangoCha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Kwa nini nilambwe ban?ingekuwa enzi za jf makini ungeishalambwa Ban ya mwezi
Bora iyo kuliko kumpa mtu kofia unakuja kumnyang'anya unampa mwingineUnaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!
Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!
Tanzania kuna vituko!
Usikute wewe ndiyo uliyemuuaAjenda ya kwanza aidai damu au mwili wa Ben kwa Wana Moshi popote aendapo
Na hii nayo ni Fake News? Sishabikie uzushi na wagombea wenu wabadi Sera tu.Fake news
Mnajitekenya na kuchekaHakika Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!!!!!View attachment 1578963
Tukajua upinzani umeshakufagaMkuu, matapeli hao na mwisho wao ni Oktoba 28
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
anabebeshwa yule mzee wa kuku9
Sio issue hata mabango yenye matangazo ya Magu yameprintiwa na mashine moja.
Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Unaleta thread halafu unaanza kujenga hoja zilizo nje ya thread!
Inashangaza kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anayegombea ''ubunge'' anaandika mabango na kuyagawa kwa watu ili ionyeshe kuwa wanampa ujumbe wakati ujumbe ameuandika mwenyewe!
Tanzania kuna vituko!