Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
We endelea kushangaa ,Utashangaa zaidi ukimkuta Bungeni.Inashangaza kamanda mkuu anatengeneza mazingira ili aonekane anahitajika wakati anajidanganya yeye mwenyewe!
Hizi sarakasi zake zitaisha baada ya Uchaguzi Mkuu!
Mwenye kufahamu uchaguzi wa Kule Jimbo la Hai ni mbunge wetu wa Bukombe, Mh Doto Biteko. Alimtuma kijana wake akapambane na mbowe Ila doto biteko Kuna kila dalili ataabika.Wana bodi tuleteeni maendeleo ya Kaka Mbowe Jimboni kwake, Mbona ukimya umekuwa mwingi mnoo.
Tunataka kujua hali ya kampeni kwa Mwenyekiti wetu. Huu Ukimya unatutia hofu.
Ni mbowe mwenyewe kayaandika na kuwagawia kwa vitisho, si unaona hata hawana furaha !!🤣🤣🤣Cha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Mbowe ni Mwenyekiti bora kabisa wa upinzani ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati. Mpeni kura kama zote. Muziki wake ukichanganya na wa LISSU Tanzania itapona.
Mkuu wangu mbona umeungaunga tupicha hivyo ? Kama vya mgombea udiwani na ilihali ni mgombea ubunge tena mwenyekiti wa chama kikuu ! Unafeli wapi ?Mtaumia sana roho zenu za kichawi baada ya mpuuzi wenu mnayemtumia kudhibitiwa na wananchi , na kubwa linakuja , tusilaumiane .
Liwalo na liwe !
Roho za kichawi...🤣🤣🤣🤣Mtaumia sana roho zenu za kichawi baada ya mpuuzi wenu mnayemtumia kudhibitiwa na wananchi , na kubwa linakuja , tusilaumiane .
Liwalo na liwe !
hakuna dawa inayoingia, labda wewe unayejiita mgonjwaTulia dawa ikuingie taratiibu.
Tulia dawa ikuingie taratiibu.hakuna dawa inayoingia, labda wewe unayejiita mgonjwa
mtaji wenu hua ni watu wa vijijini ambao hawana elimu, wakiona ndege na madaraja wakishangaa ndio mumeona kwamba mnahitaji miaka mingine mitano, kumbe lundo la watu maskini linaendelea kushamiri
Mbowe ameshapita huko Hai safi sana wana Hai ila kale ka-DC katafutieni namna.Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka apumzike asubiri kuchaguliwa tu, hata hivyo mikutano hiyo michache ndio humfanya achukue Halmashauri.
Mambo ya Mbowe mazuri kabisa nafikiri anakamilisha taratibu tu. Uchaguzi 2020 - Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindimaWana bodi tuleteeni maendeleo ya Kaka Mbowe Jimboni kwake, Mbona ukimya umekuwa mwingi mnoo.
Tunataka kujua hali ya kampeni kwa Mwenyekiti wetu. Huu Ukimya unatutia hofu.
Ni ngumu sana kumlaghai mchagga kwa nishati ya umeme barabara,elimu,pesa,chakula,hudumaza afya na kadhalika huku kilimanjaro kulisha kucha zamani sana watu binafsi wana kila kitu anachostahili kuwa nacho mwanadamu. huku ukija na kusema msiponichaguwa sitowaletea barabara watakucheka. tunachokitaka ni mabadiliko ya kimtizamo juu yetu na uzungumze kuhusu fursa za pesa au uje kijikosowa. CCM NJOOENI MCHEKWE KISHA MRUDI CHATTO
Maumivu ya kichwa huanza taraaatibu jiangalie usijekufa na kihoroCha kufurahisha, mabango yote ukiyachunguza yameandikwa na mtu mmoja.
Mwandiko huwa haujifichi!
Mbowe aache usanii!
Kinachochekesha zaidi, picha zilizopigwa niza pasipoti ili ionekane kuna umati mkubwa!
Tanzania kuna vituko!
Nyie ndio mnaotuharibia nchi kumlisha matango pori kila wakatiBora mimi namdanganya mkulu kwa sababu anaweza baadaye kujua kuliko yule ''Mbowe'' anayejidanganya mwenyewe!
Mwandishi wa mabago ni mtu mmoja, na kalamu ile ile......hahahaha! Kadema mwaka huu lazima mtage tu!Yaani picha zimeungwa ungwa alafu unasema DJ wenu apokelewa kwa shangwe ! Acheni usanii chadomo!, HUU USANII TUNAWASUBIR 28 OCT MPOTEANE!