Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Na hao wachache hawapewi vipaumbele pia hata wasipozurura.
 
Yaani wakishagundua hutoi kitu wanakukataa asubuhi na mapema..! Cha maana uwe umeshakula mzigo tu hapo unakua radhi kupitiwa na hata ukiachwa hauumii sana
Ahahah..hapana hao uncertified but ma pro sellers hata siku 1 siwezi kujichanganya nikawala..Never yan.
Huwa tuu nikivurugwaaa na mambo yangu katika kupoteza poteza muda hua kaanza kuwasumbua.

Unakuta mtu dau lake anasema 70k basi naanza ku bargain naoo kama nina hela vile namshuka haswaa mpaka 25k ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halaf namwambia hapo nitalipa usafir kisha natuma location...akija mi nishasepa kitamboooo
 
Iko wazi

1. Mungu na oxygen yake
2. Hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ