Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Inashangaza ingawa ndio maisha halisia ya sasa hivi. Wapo wanaotaka serious relationships na wengi miongoni mwao baada ya kuzurura sana.
Wapo wachache sana ambao bado wana hofu ya Mungu na wanaangalia mahisiano yenye tija na yenye malengo ya kujenga familia.
Na hao wachache hawapewi vipaumbele pia hata wasipozurura.
 
Yaani wakishagundua hutoi kitu wanakukataa asubuhi na mapema..! Cha maana uwe umeshakula mzigo tu hapo unakua radhi kupitiwa na hata ukiachwa hauumii sana
Ahahah..hapana hao uncertified but ma pro sellers hata siku 1 siwezi kujichanganya nikawala..Never yan.
Huwa tuu nikivurugwaaa na mambo yangu katika kupoteza poteza muda hua kaanza kuwasumbua.

Unakuta mtu dau lake anasema 70k basi naanza ku bargain naoo kama nina hela vile namshuka haswaa mpaka 25k 😂😂 halaf namwambia hapo nitalipa usafir kisha natuma location...akija mi nishasepa kitamboooo
 
Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?

Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.

Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"

Mwenzake akauliza kama hana hela na ni mfupi je? Utapita nae?

Kama hana hela na ni mrefu je? Utapita nae?

Naomba kuuliza, Kwani siku hizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi tu? Pochi ikikata utaangalia nini?

Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Iko wazi

1. Mungu na oxygen yake
2. Hela
 
Back
Top Bottom