Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

Haijaniuma kuona watu wazima mnashangilia kununuliwa tiketi za shingi 5000, imeniuma kuona watu wa mjini halafu mnafanyiwa uhuni wa waziwazi huku mmelala usingizi wa pono. Ilinishinda kunyamaza ila nimeshatoa stimu zangu, najiona mwepesiii.
Natamani uendelee bana

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa.
 
Dalili mbaya sana hi. taifa stars walipigiwa mbeleko kama hii kilichotokea mliona. Stay tune.
 
Sawa sawa Chifu.

"Ili nifanikiwe nahitaji Marafiki, ili nifanikiwe zaidi nahitaji Maadui" Prof Jay, duniani kila Mtu ana umuhimu kwa nafasi yake.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanajinunulia wenyewe alafu wanasema wao Wana watu byut byut.
 
Utanionyesha na uwanja wa AC Milan,au nayo ni timu ndogo kuliko Namungo ? Kupanga ni kuchagua.
Game inapigwa kwenye dimba la taifa kwa kuwa Yanga haina wa kwake.

Namungo, Azam, wana umri gani vile ukilinganisha na wale wakongwe wawili?

Mambo ya Majaliwa kuokoa wahanga wa ndege haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…