CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Sikumsikia nini? Alisema mmefika FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO??????Hukumsikia Ally Kamwe juzi?
Au we ndio follower wa Manara?
We ni MWEHU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikumsikia nini? Alisema mmefika FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO??????Hukumsikia Ally Kamwe juzi?
Au we ndio follower wa Manara?
Sikumsikia nini? Alisema mmefika FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO??????
We ni MWEHU.
Natamani uendelee banaHaijaniuma kuona watu wazima mnashangilia kununuliwa tiketi za shingi 5000, imeniuma kuona watu wa mjini halafu mnafanyiwa uhuni wa waziwazi huku mmelala usingizi wa pono. Ilinishinda kunyamaza ila nimeshatoa stimu zangu, najiona mwepesiii.
Kweli kabisa.Kwamba Yanga mnahitaji kununuliwa tiketi kwenda kusapoti timu yenu katika mechi ya fainali? Halafu hili mnashangilia na kutumia kama fahari na kukejeli wengine?
Ninasemaga Simba na Yanga kimsingi kabisa ni timu zilizo na mashabiki wa aina mbili tofauti sana. Sitalielezea zaidi ila wenye akili watang'amua hizi tofauti ziko wapi.
Dalili mbaya sana hi. taifa stars walipigiwa mbeleko kama hii kilichotokea mliona. Stay tune.MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
Rais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya CRDB - Tiketi 5,000
Benki ya NMB - Tiketi 5,000
Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000
Makamu wa YangaSc - Tiketi 500
JUMLA: Tiketi 31,500..
WHY NOT US? '
On a seriius note mkuu wa mkoa anatoa wapi pesa ya kunua tiketi buku???Wenye wivu wajinyonge.
Sawa sawa Chifu.Kwa Yanga jinsi ambavyo mmekuwa kero humu kwasababu ya ndondokela ya msimu mmoja tu basi imekuwa sababu ya wengine kukosa raha.
Aaah kwa hilo nakubali yote tu acha heshima ivunjike.
Kwanza mi heshima ya kazi gani umri huu hainiingizii hela zaidi ya sifa tu.
Mafanikio ya Yanga yatageuka kuwa fimbo kwangu yani nitatukanwa, nitasimangwa mpaka basi.
Sasa guarantee ya mimi kuwa na furaha ni Yanga isichukue ubingwa.
Lakini pia kuna mwana hapa aliwahi kuja na uzi kutupa pongezi sisi waminyaji kwa mchango wetu kuifanya Yanga ifikie haya mafanikio.
So miongoni mwenu kuna kundi lingine ambalo linatuona kwa jicho la kitofauti kama watu fulani ambao tuna influence ya kuifanya Yanga ipate haya mafanikio.
Tukiacha "uminyaji" maana yake kuna namna tutakuwa tumepunguza nguvu kazi ya kufikia mafanikio yenu.
MPAKA WAFE[emoji1787][emoji1787]Wenye wivu wajinyonge.
Uje msiba huwa ni wa wote 😎LNaona mnachangiwa mapema msiba wenu hyo jpili... 😆 😆
Nitakuja rafiki kukupa kampaniUje msiba huwa ni wa wote 😎
Nikishinda usiumie sasa alafu fanya mpango huamie huku kwa GSMNitakuja rafiki kukupa kampani
Habari ni Mazoezi ya Sawadogo kule BUNJU.Yanga mmejitoa akili aisee..hii nayo ni habari??
Game inapigwa kwenye dimba la taifa kwa kuwa Yanga haina wa kwake.
Namungo, Azam, wana umri gani vile ukilinganisha na wale wakongwe wawili?
Mambo ya Majaliwa kuokoa wahanga wa ndege haya
Siwezi umia kabisaaa...nitawaachia jukwaa mfurahi kwa mwezi mzimaNikishinda usiumie sasa alafu fanya mpango huamie huku kwa GSM
Taifa stars sio Yanga.Dalili mbaya sana hi. taifa stars walipigiwa mbeleko kama hii kilichotokea mliona. Stay tune.