Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Huyu ashakua tapeli , na kama kaolewa mumwe wake kapigwa
 
Sikujua huyo dada ana changamoto katika ndoa. Hebu tupe habari zaidi.
Ila hakutumia busara kulitangaza sakata lake kwa namna alivyo washauri wanawake wengine.
 
Sikujua huyo dada ana changamoto katika ndoa. Hebu tupe habari zaidi.
Ila hakutumia busara kulitangaza sanata lake kwa namna alivyo washauri wanawake wengine.

Mitandaoni Ex Husband aliwahi kuweka bandiko kuhusu yeye na mkewe.

Kabla ya kutulia akatangaza ndoa...tena nasikia ina budget ya kushiba.....

Nafikiri imevuruga fikra kidogo ndio maana Haika alisema vitu vigumu kweli kweli huko Dodoma....
 
Mimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mtu aliyekuwezesha kakusomesha tena ulaya, kakupa mtaji wa biashara inakuaje umuone ni tapeli? Kama alikuwa anajiweza mbona hizo Mali haukupata kabla ya ndoa? Sasa hapo nani ni tapeli
Hisia ikizidi akili ya kawaida lazima mtu atakuwa na maamuzi ya kijingajinga tu wakati wote. Mara nyingi wanawake hufanya maamuzi au kutoa maamuzi Kwa kuzingatia wakati uliopo
 
Mbaya zaidi haina mshindi. Watu wanaishia kuumizana tu
Hawa wanawake wanaharakati ndo wanatengeneza mabinti wa hovyo
 
Sio ushauri mzuri, katika ndoa hakuna kinachofichwa. Mmeshakuwa mwili mmoja unaficha nini? Anaeficha hana upendo wa dhati kwa mwenzake.
Inategemea uko na mwenza wa namna gani, maisha jinsi yalivyo hutakiwi kuishi kwa kukariri
 
tapeli wa mjini alikuwa mtumishi tu wa serikali kumbe hela zote zilikuwa zinatoka kwa mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…