Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Kuleni chuma hicho! Wanaume mnaooa wanawake asset kimewakuta. Huu sasa ni uharibifu wa ndoa, yaani nioe mwanamke halafu nisijue mali zake? Mshahara tu wenyewe nisipoujua ni kasheshe patachimbika, sembuse mali? Au wanawake nao wameshituka kulinda mali zao, kina hakim na ngolo naona wameshitua wanawake matapeli wa ndoa
 
Mkifanya nyie ni sahihi, wakifanya wanawake ni matapeli🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Hamjui nyie ndio walimu wetu?
 
Ndoa za siku hizi zimetawaliwa na ubinafsi, ila si shangai ukiongea na MaHR watakuambia wanaume wamewaandika wake zao kama warithi wa mirathi, ila wanawake wamewandika wazazi wao na watatoto wao.

Sasa ndoa maanake nini kama hamna kushare au ndio wale wanaamini ndoa ni kushare makojoleo, ila si shangai ndio maana hata yeye ndoa imemshindwa. Halafu sijui kwa nini watu walio achika na yale magume magume waliotumika na waliokataa tamaa kupata ndoa wanakua against na huu muunganiko wa ndoa.

Hapa ndipo na waelewa wale wanaume wanao wakataza wake zao wasihudhurie haya makongamano ya wanawake,mara nyingi wanafundishana ujinga ambao hauna afya kwa ndoa na familia kiujumla.
 
Huyu ni Malaya ndiyo maana Former Boss wa IT pale TPA alimpiga chini akaenda kwa Lecturer wa pale OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…