Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mtu pekee anayeweza kumsaidia huyu binti ni Diamond Platinumz peke yake.Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini
Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?
Wanaohusika na huyu Dada wakamlilie Diamond atawasaidia.
Kwa tambo za Wasanii wa Tanzania ni ngumu kusaidiwa na raia wa kawaida.