Haithamkim amefanyaje?

Haithamkim amefanyaje?

Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini

Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?

Mtu pekee anayeweza kumsaidia huyu binti ni Diamond Platinumz peke yake.

Wanaohusika na huyu Dada wakamlilie Diamond atawasaidia.

Kwa tambo za Wasanii wa Tanzania ni ngumu kusaidiwa na raia wa kawaida.
 
Screenshot_20230901-135056.png
 
Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini

Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?

Kwanini Siku hizi Condoms hazipatikani kwa Uwingi huku Mitaani Kwetu kama zamani? au Janga la VVU sasa limeshadhibitiwa na haliko tena kwa mujibu wa WHO?
 
Ndo nimemkumbusha hapo yaani Kuna magonjwa kibongo bongo bila kutembeza bakuli hutoboi ng'ooo!!!
Mimi Sasa hv Msanii wa kumchangia Riyama tu wengine Hawa,yakiwakuta watashaaa....mbonaaa
Huyo Riyama mbona kila mtu anasema atamchangia yeye ana nini hasa mpaka achangiwe?
 
Back
Top Bottom