Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

Miradi Mingi ya Mwendazake ilikuwa substandard.

Mv Mbeya ilijengwa kama meli mpya baada ya mwezi ikapaki ikafanyiwa ukaranati miezi Kwa mabilioni..

Huu upuuzi ulianza awamu ya 5 na unaendelea..
 
Usimlaumu kwa papara, ana point. Labda suala la akili lingekuwa ni mwaka gani kivuko kiligharimu bilioni 7.3, hadi kufanyiwa matengenezo ya bilioni 4.4 leo hii.

Suala la kujiuliza ni kwamba, je, serikali ilifikiria uwezekano wa kukiuza kwa mnada na kununua kivuko kipya badala ya kukikarabati kilichopo kwa zaidi ya 50% ya gharama ya utengenezaji? Tunaweza kusema bilioni 7.3 ya wakati huo sio ya sasa, lakini sidhani kama shilingi imeporomoka kiasi hicho tangu kivuko kijengwe.

Haya ndio mambo amayo nchi ikiwa na upinzani makini bungeni hayawezi kutokea kirahisi, lakini Watanzania wengi ni wajinga mno wa siasa kutambua hilo.
 
Leo asubuhi saa moja flani Mv Kazi ilipaki walisema ni mbovu!

Pesa za watu wajinga ni za kuliwa tu!!
 
Siku hizi wakizipiga ni kuanzia B
Walianza na daraja la Bilioni 7 na sasa matengenezo ya kivuko Bilioni 4!
Kazi iendelee,Mama anaupiga mwingi ila shida pasi zake ni za juu sana,ukiwa mfupi huwezi kupata mpira(asali).
 

Kigamboni Kivuko, Loliondo Wanyama, Majengo Force Account

Hachomoki Mtu, Lock Diff Ni Tozo Sasa Kila Mtu Ataguswa Tu
Cheza Kwa Step Muhimu Usimksnyage Mwenzio, Usiguse Tonge Mkononi Mwa Mtu
 
Miradi Mingi ya Mwendazake ilikuwa substandard.

Mv Mbeya ilijengwa kama meli mpya baada ya mwezi ikapaki ikafanyiwa ukaranati miezi Kwa mabilioni..

Huu upuuzi ulianza awamu ya 5 na unaendelea..
Tena kama wewe ndo jitu senge lisilokuwa na akili mabishano yako hayanaga mantiki! Sasa kwenye ukarabati huo wa meli inahusika vipi awamu ya tano! Lengo kulamba matako ya watawala bila kusema ukweli!
 
Ni mwendo wa billions tu🙃
Kwa tuliopanda MV kazi kabla na baada ya kukarabatiwa hiyo MV kazi wamefunga injini mpya🧐
Ndo maana wameikalisha sana songoro marine at least tuone value ya hizo billions ushuzi.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Daaah tuna raisi dhaifu sanaaa na bado tutasikia na tutaona mengi sanaaa
Ila unaweza kuja kusikia report ya CAG haioneshi chechote ili kuwahadaa wanachi kwamba serkali ya awamu ya sita inafanya vizuri kwenye usimamizi wa fedha!
Maana lengo lao ni kuonesha wanafanya vizuri ilimradi kuwajaza ujinga wananchi!
 
We jamaa ni mse.. ge San huna aibu.
Hupati Ata uteuzi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…