Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
militegemea ingejengwa kama ilivyo kama siyo siasa. ule ulikuwa ni mpango wa kipuuzi kutoka kwa mpuuzi ulioshangiliwa na wapuuzi kwani ilikuja kubomolewa baada ya muda mfupi chini ya raisi mpuuzi aliyejiita mzalendo akiwahadaa wapuuzi. mpango wa kujenga barabara za dart aliujua tangu akiwa waziri wa barabaraKwamba mwanzo ilikuwa njia 2 na now ni njia 2? Au logic yako ni nn
militegemea ingejengwa kama ilivyo kama siyo siasa. ule ulikuwa ni mpango wa kipuuzi kutoka kwa mpuuzi ulioshangiliwa na wapuuzi kwani ilikuja kubomolewa baada ya muda mfupi chini ya raisi mpuuzi aliyejiita mzalendo akiwahadaa wapuuzi. mpango wa kujenga barabara za dart aliujua tangu akiwa waziri wa barabara
VIONGOZI SIYO MALAIKA HATA VICHAA HUWA VIONGOZI. KWANI ULISHASIKIA CHUO KIKUU CHA VICHAA. VICHAA WANAOFAULU MITIHANI HUSOMA WAPI BAADA YA KUFAULUKwanza Tumia lugha mzuri
Uwezi kumwita Rais wa inchi yako ni mpuuzi
Wakati kalamu yake nyekundu alitumia vema kukufanya ww upumue Hadi Leo,
Sasa ulitaka tukae kwenye road mbovu mpaka mradi ujengwe?
Mbona Posta wamevunja stendi zao wenyewe za mwendo kasi kupisha barabara nyingine ya mwendokasi je na hapo unaseje?
Shida ya wabongo ni kujiona mnaaakili nyingi na maarifa mengi kuliko viongozi wenu
VIONGOZI SIYO MALAIKA HATA VICHAA HUWA VIONGOZI. KWANI ULISHASIKIA CHUO KIKUU CHA VICHAA. VICHAA WANAOFAULU MITIHANI HUSOMA WAPI BAADA YA KUFAULU
Hoja ni niniUsimwite Rais wako kichaa
Sio ujanja,
Ongea hoja, Lete hoja, tushindane Kwa hoja,
Hoja ni nini
kwamba zinamtaka raisi wa nchi awaite watengeneza ndege chumbani kwake ikulu atoe spesfication ya ndege anazotaka bila kuwashindanishaSheria za manunuzi
kwamba zinamtaka raisi wa nchi awaite watengeneza ndege chumbani kwake ikulu atoe spesfication ya ndege anazotaka bila kuwashindanisha