Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo.

View attachment 2479521

==
Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170.

Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake mkubwa uliogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4.4. Kivuko hicho kiliondolewa kwenye maji baada ya kufikia muda wake wa ukarabati mkubwa.

Kilianza rasmi kukarabatiwa mwezi Juni mwaka 2022 na mkandarasi Songoro Marine Transport Boatyard katika Yadi yake iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (5) 2020-2025,

Serikali inayoongozwa na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ilitoa ahadi mbalimbali kwa wananchi ikiwemo kuboresha huduma za vivuko hapa nchini ili kuwapunguzia wananchi kero za usafiri wanazopata katika maeneo mbalimbali kupitia Wizara mbalimbalina kupitia Wizara ya Ujenzi, Serikali imeanza kutekeleza ahadi hizo kwa kuanza kuvifanyia ukarabati vivuko hivyo.
Sasa unalia nini??
 
kama uke wa asad aliposema 1,5 trilion hazgulikani zilipo alijibiwa>

yy si ndio msimazi? sasa why atulize sisi na waziri wa fedha yupo?

na zile ela hazikuibwa sema zilienda kufanyia kazi nyingine, kuna miradi mingi ilifanywa nyuma ya bajet na kwa ela za matumizi mengine but hiyo miradi inasaidia watanzania sana tu hasa wakazi wa dar

miaka ya 2005 ulikuwa umeshafika dar? Je kutoka ubungo hadi kibaha ilikuwaje? na vipi leo pakoje?
 
sawa kwann pawe na sheria ya manunuzi
 
sawa kwann pawe na sheria ya manunuzi

kipi bora, kufata sheria ya manunuzi na kuwalipa watu posho za milion 2 kwa siku kwenye kamati za evaluation na kumlipa tenda mzabuni milion 100 na kuwachukua wanajeshi na kuwambia jengeni hapa na mkanunue cement pale na mchanga pale na wakajenga kwa milion 60?

na hizo sheria ndio tunanunua V8 milion 600 wakati zinauzwa milion 200 mpaka 300
 
ndio maana mim nikionaga material ktk ujenzi wa serikali yanazubaa zubaa napitaga navyo tu wote tugawane nchi wasiwe wanakula peke yao, mwaka jana niliiba misumari gunia mbili yote ilikuwa ya nchi mbili, mwaka huo huo niliwapa madogo pesa wakaiba nondo roller 30 za MM 16, nikaiba na saruji kadhaa, na kuna motor ya kuchania mbao ya 3phase nailia timing wao wanatumia kuchania mbao ktk mradi wao wa daraja.

N.B mimi sio mwizi ila upigaji huu wa hawa viongozi wetu wangese ndio unaonisukuma, kwanin waibe peke yao. walijenga daraja la miti uko kilombero wakasema limegharimu 31million.

jaman hii nchi tule wote punguzeni uzarendo mazee
 
hahahah Daaaah jamaa hatari sana
 
kipi bora, kufata sheria ya manunuzi na kuwalipa watu posho za milion 2 kwa siku kwenye kamati za evaluation na kumlipa tenda mzabuni milion 100 na kuwachukua wanajeshi na kuwambia jengeni hapa na mkanunue cement pale na mchanga pale na wakajenga kwa milion 60?
sheria zipo kudhibiti hutka za binaadamu< vipi kama nikichulua 10 percent kwenye kila ndege japo mnaiona
 
mara mia ya hiyo kuliko kununua V8 milion 600 wakati bei ya sokoni mpaka unalitoa bila vat ni 200 tu
 
kwanini basi pawe na sheria. kwamba aliyemua mwenzie auwawe na walioshuhudia kisa akienda mahakamani hukumu itachua muda au aweza shinda kesi
 
sio sheria zote ni mbaya, ww umeongea sheria ya manunuzi na ni kweli magu alikuwa hafati hizo mambo coz ela nyingi inapotea kwenye watu kukutana kujadili mradi

tena wanaenda kujadili machinjio ya vingunguti Ulaya

ndio maana hata ela za sherehe alikuwa anasema no sherehe hizi ela zikafanye mambo mengine

haikuwepo hiyo tabia magu ndio alianzisha na mwinyi juzi kafanya

so hapo kwa ushauri wako ulitaka afate sheria ya manunuzi na matuzi ya ela atumie milion 400 kwa sherehe za mapinduzi ya siku moja? au bora kuvunja sheria na kupeleka hizo ela hispital kwenye afya?
 
mwenye nia nzuuia kama siyo siasa? sihasa aangezuia pesa isiwe allocated kabisa kwenye bajeti anaruhusu pesa itengwe ya sherehe kidha anazuia matumizi yake ati ikaganye mambo mengine> yapi hayo? iwapi leo barabara ya moroco mwenge>
 
Umekuja dar lini? Barabara ya Morocco mwenge ilikuwa vile? Zilikuwa njia 4?

Kaka Una muda gani mjini?

Check huo mkeka
 
Attachments

  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    33.8 KB · Views: 3
Umekuja dar lini? Barabara ya Morocco mwenge ilikuwa vile? Zilikuwa njia 4?

Kaka Una muda gani mjini?

Check huo mkeka
nimekulia dar niksomea dar naishi dar nafanya kazi dar bro bt naheshimu utaratibu
 
That's means unajua the way road ilikuwa mwanzo na ilivyo sasa, na faida Kwa watumiaji Kwa ule upanuzi wake,

So ilikuwa Bora kufata utaratibu au kuwafanya wanainchi wasikae masaa mengi kwenye folen?
 
nw ipo kama ilinyokuwa/ kijenhwa kwa hizo pesa za miingano au siyo kwamba sasa pesa zile za muungano zimeibadili hii barabara au ilibomolewa tena na kujengwa ya mwendo kasi ama unataka kusemaje>
 
Nilinunua tv Samsung 2012 kwa tsh 650000,siku chache baadae nikapasua kioo,kwenda kuuliza Bei kioo ilikua 450000,nikajiuliza ninunue kioo au niongezee pesa ninunue mpya,kwenye kivuko hapo ni heri tungepekua zaidi hizo gharama Kama walivyoainisha wao,kivuko Cha juzi tu kwa nini kifanyiwe ukarabati!?..Pana jambo
Simu nilinunua dola alfu kuvunja kioo wakataka 550 hakuna cha ajabu
 
nw ipo kama ilinyokuwa/ kijenhwa kwa hizo pesa za miingano au siyo kwamba sasa pesa zile za muungano zimeibadili hii barabara au ilibomolewa tena na kujengwa ya mwendo kasi ama unataka kusemaje>

Kwamba mwanzo ilikuwa njia 2 na now ni njia 2? Au logic yako ni nn
 
Back
Top Bottom