Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

Tena kama wewe ndo jitu senge lisilokuwa na akili mabishano yako hayanaga mantiki! Sasa kwenye ukarabati huo wa meli inahusika vipi awamu ya tano! Lengo kulamba matako ya watawala bila kusema ukweli!
Awamu ya 5 ilikuwa na majizi sana yaliyotengeneza vitu substandard kama meli hii ndio maana imeharibika mda mfupi Kwa vile ilikuwa fake..
 
Miradi Mingi ya Mwendazake ilikuwa substandard.

Mv Mbeya ilijengwa kama meli mpya baada ya mwezi ikapaki ikafanyiwa ukaranati miezi Kwa mabilioni..

Huu upuuzi ulianza awamu ya 5 na unaendelea..

Kuna kipindi ilinunuliwa MV DAR-ES_SALAAM kwa fedha tathlimu Bilioni 8(Nadhani wote mnamjua aliyenunua) na pia Bakhresa alinunua meli pia ya bilioni 4 lakini cha kushangaza Meli ya Bakhresa yenye thamani ndogo ilikuwa ni ya kisasa,nzuri(Luxury) na ina speed ya hatari lakini MV DSM ya bil 8 ilikuwa ya kizamani haina mvuto halafu inatembea mwendo wa Kobe ilipiga test chache na ikafa.
 
Ndio maana wengine wanakataa tusikope na tozo sababu wanaona upigaji umezidi na wapigaji wakubwa hawachukuliwi hatua.

Mikopo na tozo vinaishia kwa wapigaji inakua kama kujaza maji kwenye pipa lililo na tundu kubwa.

Na upande wa mikopo unakuza deni la Taifa ambalo watanzania wote mpaka vijijini wanalilipia.

Mama anapambana kuibrand nchi na kukopesheka na uwekezaji lakini kuna wachache wanaturudisha nyuma.
 
Si bora wengenunua tu kingine
 
KUONGEZA SIFURI NDIYO ZETU,NYIE MNATAKA TUISHIJE [emoji1]
alisikika wakisema watu fulani

Ova
 
Sasa kinachowaliza ni kitu gani wkt mlilia na wengine mkaomba na kukesha ili mungu wenu aamue ugomvi?.

Yaani bado naendelea kujifunza tabia za binadamu!.
Badala ya kumuomba Mungu awaondolee matatizo yao sugu ambavyo ni vikwazo vya maendeleo, wao wameomba Mungu aingilie ugomvi wao na kuwapa wao ushindi.

Watanzania kweli watu wa ajabu.
 
Mim nauliza iweje zile Tv haziwaki na ili hali zimewekwa pale au mbov?
By the way angalau sasa kana sipidi sipidi .TV ZILE ZIWAKE TUPATE RAHA
 
WIZI MTUPU Kumbuka Uchaguzi 2025 Makusanyo ya FEDHA za KAMPENI yameanza MAMA ANAKOPA wajanja Wanazipiga KIULAINI KABISA
 
kiwapi kivuko/meli ys mv bagamoyo tuanzie hapa kuhoji ukweli. ni mlili ya mv bagamoyo
 
Mnatupigia kelele , uchaguzi ukija mnaionea haya CCM. Ngoja waibe na kukopa sana maana nchi haina mwenyewe.
 


tumia tu akili yako ndogo hata ya kuvukia barabara

pikipiki uliyonunua kwa milion 1 service kubwa yake iwe laki saba

sasa si bora tungeongeza laki tatu tupate kingine kipyaaa?
 
Miradi Mingi ya Mwendazake ilikuwa substandard.

Mv Mbeya ilijengwa kama meli mpya baada ya mwezi ikapaki ikafanyiwa ukaranati miezi Kwa mabilioni..

Huu upuuzi ulianza awamu ya 5 na unaendelea..

unavyoongea ni kama awamu ya tanu na awamu ya sita ni watu tofauti ha ha ha

watu ni wale tofauti ni wamehama room za office tu
 
Awamu ya 5 ilikuwa na majizi sana yaliyotengeneza vitu substandard kama meli hii ndio maana imeharibika mda mfupi Kwa vile ilikuwa fake..

hapo ujue unamsema mama samia ambae alikuwa makamu wa rais na unamsema waziri wa fedha mpango ambae ni makamu wa rais kwa sasa
 
Ukisikia Tanzania CCM basi ndivyo tunavyokwenda nayo. Hawa wapigaji Magu tu ndio aliwasomea
 
tumia tu akili yako ndogo hata ya kuvukia barabara

pikipiki uliyonunua kwa milion 1 service kubwa yake iwe laki saba

sasa si bora tungeongeza laki tatu tupate kingine kipyaaa?
miradi bubu ya wazalebdo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…