Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Haja anataka kuwaangushia Jumba bovu kina Ally Kamwe na Priva. Tatizo siyo Yanga wanasema nini bali Yanga wanacheza vipi uwanjani!!
 
kwako wewe hilo ni tusi,?
Kwa siye watu wa Pwani huwa tunaita Tafsida. Yaana mtu badala ya kukuita "Mshenzi" anakwambia "wewe Jamaa siyo Mstaarab" sasa hapo ule msemo wa Kiingereza "Vise Versa is True" ndipo unapotumika.

Hadji anaposema "Mwenzenu mimi nina akili" anamaanisha kwamba wana-Yanga wenzake hawana akili.
 

🤣🤣🤣🤣
Stress mbaya sana yaani sijaelewa ana maana gani utadhani yeye ndio kocha vile​
 
🤣🤣🤣🤣
Stress mbaya sana yaani sijaelewa ana maana gani utadhani yeye ndio kocha vile​
Kabisa. Huwa anajiweka kwenye nafasi siyo yake. Kwani Mechi zote ambazo Yanga wameshinda hakuona kina Kamwe walivyokuwa wanasema kabla na baada ya Mechi? Kama Yanga wameshindwa kwa Simba si kwa sababu kina Kamwe na Priva walisema nini bali ni jinsi gani Yanga walicheza ule mchezo!!
 
Kama mnazo kwanini luc eymael aliwaita manyani na mambwa mna bweka bweka hovyo na bado mnalipa
 
Wewe na huyo Manara wako, wote akili zenu zinafanana.
 
Nahisi tarehe 16 haji alijifungia chumbani akacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…