Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

Kama mnazo kwanini luc eymael aliwaita manyani na mambwa mna bweka bweka hovyo na bado mnalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaj
 
Panya na ngedere hawajawahi kuwa na wema zaidi ya kujipenda wenyewe
 
Polimi Lai FC[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ila watu wa Kigoma ni wanafkiiiii daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sope anaponiacha hoi, vimaneno maneno sijui huwaa anavitoa wapi??

Polimi lai. Khaaah
 
"Nimekuwa Msemaji muda mrefu tu ila inapokuja Suala la Mechi za Dabi huwa nakuwa makini nini cha kuongea. Huwezi kukurupuka na kuropoka kishamba kudai kuwa Yanga SC itaendelea kuifunga Simba SC huku ukijua kuwa na Simba SC nao wamejipanga na ni wanaume wenzetu.

Haya sasa wametufunga zile kauli za kijeuri sijui utawakanda zimeishia wapi?" Amesema Haji Manara (kupitia voice note iliyowekwa hewani) Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC na Msemaji aliye kifungoni kupitia kipindi cha E-Sports cha EFM.

Nami MINOCYCLINE nasema kazi ndiyo kwanza imeanza na mtavurugana sana ikiwa ni sehemu ya laana kwa mliyoyafanya.
 
Jamaa huwa anaongea kama ndio mkubwa pale yanga, yaani mtu kama ndio unafika bongo halafu ukamsikia anavyoongea unaweza kudhani jamaa kama sio mmiliki basi ni kocha pale yanga au ndio mkuu wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…