Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Niambie mwana mbumbumbu FC, nguruwe FC, ngada FCWw juha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie mwana mbumbumbu FC, nguruwe FC, ngada FCWw juha...
Tunaitwa tena 🐖 fc tokea liniNiambie mwana mbumbumbu FC, nguruwe FC, ngada FC
SI tangu bwana manguruwe wa Dodoma alipotoa zawadi ya nguruwe kwa Chama (alipokuwa 5imba) na msemaji wa 5imba.Tunaitwa tena 🐖 fc tokea lini
Kwa hiyo 🐸 fc ni 🐄 wa mayeleSI tangu bwana manguruwe wa Dodoma alipotoa zawadi ya nguruwe kwa Chama (alipokuwa 5imba) na msemaji wa 5imba.
Yeye mwenyewe hajui anataka nini. Manara ni kama mwanamke anayedhani kuwa ni mzuri na anapendwa na kila mtu kumbe watu wanamchora tu. Anajiona ni mkubwa sana kwamba mpira unamuhitaji sana yeye hii ndio shida yake. Manara anatumia hizi team kubwa sio kwa manufaa ya team tu ila maslahi yake zaidi.Press yake ya leo sijaelewa anataka kutuma ujumbe gani?
Sasa ng'ombe FC na Nguruwe FC ipi inachekesha? Ya ng'ombe mlikuja watu wa 5imba kula supu. Na nyie mngechinja nguruwe tuje.Kwa hiyo 🐸 fc ni 🐄 wa mayele
Makolo a.k.a nguruwe FC kuwajua rahisi sana..!!Yeye mwenyewe hajui anataka nini. Manara ni kama mwanamke anayedhani kuwa ni mzuri na anapendwa na kila mtu kumbe watu wanamchora tu. Anajiona ni mkubwa sana kwamba mpira unamuhitaji sana yeye hii ndio shida yake. Manara anatumia hizi team kubwa sio kwa manufaa ya team tu ila maslahi yake zaidi.
Magoma katuambia kuwa Haji Manara akilewa pombe huanguka kwenye mchanga halafu masela wanajisevia. Yanga hatutaki shoga. Kaa mbali kwa utulivuDAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari.
“Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa mkutano wake na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.
Chanzo: habarileo_tz
Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona Kichwani zimekupungua.
Tofauti Kuu haya maneno Mawili ya Afisa Habari na Msemaji yanatofautiana tu ni Taasisi gani uliopo ila tunajua ukiwa katika Public Sector utaitwa Afisa Habari na ukiwa katika Private Sector utaitwa Communication Manager na Wengine huitwa Corporate Directors au Chief Communication Officer ila Kimsingi hawa Wote yale Majukumu yao Mama ni yale yale tu.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hukuwahi kupatana na Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na hata Kuongea Kwenu ni kwa Kulazimisha na kwa Kinafiki ila Kutwa mnasemana vibaya ( kupigana Majungu ) huku mkiharibiana kwa Tajiri yenu Mkuu GSM na Rais wenu Hersi.
Na kinachokuumiza sasa Haji Manara ni kuona yule Mtu ambaye Kwanza hukumtaka apewe hiyo Nafasi yako si tu kwamba ameiweza vyema hadi Pengo lako Kuzibika ila pia amekuja na Ubunifu wa Kipekee ambao kwa hali ya Sera ya Mpira Biashara ya sasa ndiyo unaotakiwa na Klabu yenye Mafanikio kwa sasa kama ya Watani zangu Yanga SC.
Kwa huku Kurejea Kwako tu ndani ya Yanga SC na kuanza haya Majungu yako naona Vita fulani inakuja mbeleni Ok?
Bado mdogoSasa ng'ombe FC na Nguruwe FC ipi inachekesha? Ya ng'ombe mlikuja watu wa 5imba kula supu. Na nyie mngechinja nguruwe tuje.
Kuna mtu nilimwambia hiki kitu akanibishia.Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji
Sina jambo...utopolo fc..akili mbili fc...vyura fc...magoma fc..u hali gani huko uliko?Niambie mwana mbumbumbu FC, nguruwe FC, ngada FC
Huku niliko nipo salama, HOFU KWAKO ULIYE MBALI NA UPEO WA MACHO YANGU. NIA NA MADHUMUNI YA UJUMBE HUU ni kukupa hongera kwa ushindi wa Magoma cup. Maana ndo furaha yenuSina jambo...utopolo fc..akili mbili fc...vyura fc...magoma fc..u hali gani huko uliko?
Magoma cuuuuup...ubaya ubwelaaaaaaaaHuku niliko nipo salama, HOFU KWAKO ULIYE MBALI NA UPEO WA MACHO YANGU. NIA NA MADHUMUNI YA UJUMBE HUU ni kukupa hongera kwa ushindi wa Magoma cup. Maana ndo furaha yenu
Umejiandaaje na tarehe 8, huku ukizingatia kilichotokea tarehe 5? Maana sisi ni mwendo wa kwenda na tarehe tu.Magoma cuuuuup...ubaya ubwelaaaaaaaa
Malimbukeni ndo huwa wana keep rekodi kwa sbb kwao ilikua ni ndoto ya muda mrf...nachokwambia mtani trh 8 mtahama humu jukwaani...Umejiandaaje na tarehe 8, huku ukizingatia kilichotokea tarehe 5?