Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

Press yake ya leo sijaelewa anataka kutuma ujumbe gani?
Yeye mwenyewe hajui anataka nini. Manara ni kama mwanamke anayedhani kuwa ni mzuri na anapendwa na kila mtu kumbe watu wanamchora tu. Anajiona ni mkubwa sana kwamba mpira unamuhitaji sana yeye hii ndio shida yake. Manara anatumia hizi team kubwa sio kwa manufaa ya team tu ila maslahi yake zaidi.
 
Yeye mwenyewe hajui anataka nini. Manara ni kama mwanamke anayedhani kuwa ni mzuri na anapendwa na kila mtu kumbe watu wanamchora tu. Anajiona ni mkubwa sana kwamba mpira unamuhitaji sana yeye hii ndio shida yake. Manara anatumia hizi team kubwa sio kwa manufaa ya team tu ila maslahi yake zaidi.
Makolo a.k.a nguruwe FC kuwajua rahisi sana..!!

CC Mtoto halali na hela
 
DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari.

“Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa mkutano wake na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.

Chanzo: habarileo_tz

Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona Kichwani zimekupungua.

Tofauti Kuu haya maneno Mawili ya Afisa Habari na Msemaji yanatofautiana tu ni Taasisi gani uliopo ila tunajua ukiwa katika Public Sector utaitwa Afisa Habari na ukiwa katika Private Sector utaitwa Communication Manager na Wengine huitwa Corporate Directors au Chief Communication Officer ila Kimsingi hawa Wote yale Majukumu yao Mama ni yale yale tu.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hukuwahi kupatana na Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na hata Kuongea Kwenu ni kwa Kulazimisha na kwa Kinafiki ila Kutwa mnasemana vibaya ( kupigana Majungu ) huku mkiharibiana kwa Tajiri yenu Mkuu GSM na Rais wenu Hersi.

Na kinachokuumiza sasa Haji Manara ni kuona yule Mtu ambaye Kwanza hukumtaka apewe hiyo Nafasi yako si tu kwamba ameiweza vyema hadi Pengo lako Kuzibika ila pia amekuja na Ubunifu wa Kipekee ambao kwa hali ya Sera ya Mpira Biashara ya sasa ndiyo unaotakiwa na Klabu yenye Mafanikio kwa sasa kama ya Watani zangu Yanga SC.

Kwa huku Kurejea Kwako tu ndani ya Yanga SC na kuanza haya Majungu yako naona Vita fulani inakuja mbeleni Ok?
Magoma katuambia kuwa Haji Manara akilewa pombe huanguka kwenye mchanga halafu masela wanajisevia. Yanga hatutaki shoga. Kaa mbali kwa utulivu
 
Sina jambo...utopolo fc..akili mbili fc...vyura fc...magoma fc..u hali gani huko uliko?
Huku niliko nipo salama, HOFU KWAKO ULIYE MBALI NA UPEO WA MACHO YANGU. NIA NA MADHUMUNI YA UJUMBE HUU ni kukupa hongera kwa ushindi wa Magoma cup. Maana ndo furaha yenu
 
Screenshot_20240722-165117_Instagram.jpg
 
Umejiandaaje na tarehe 8, huku ukizingatia kilichotokea tarehe 5?
Malimbukeni ndo huwa wana keep rekodi kwa sbb kwao ilikua ni ndoto ya muda mrf...nachokwambia mtani trh 8 mtahama humu jukwaani...
 
Back
Top Bottom