Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Mb9na amepewa adhabu ndogo sanaaa!?? Angekuwa mtu wa lipuli ameyafanya haya angepewa adhabu iyooo, tutakata rufaaa adhabu iongezwe ..
huyu jamaa alistahili ban isiyopungua miaka 5
 
Mhhhhhh!!!! Hiv ntu anaweza kuhama timu labda kuacha kuifuatilia kwa muda fulani.... Njaaa bwana hata mwenyewe ningekuwa mànara ningemwaga mijineno, mbele ya bosi Tena....
 
Tena alikuwa ni mhamasishaji wa GSM! Maana Afisa Habari wa Yanga anafahamika fika ni Hassan Bumbuli.
Tatizo Haji Manara alimfunika kabisa Bumbuli ndiyo maana naye kajibu mapigo. Haji mwenyewe anasema siku ile alijua anamsalimia Karia kumbe alikuwa anampaka, sakizi siyo uchawi wa kitoto,ukishahafibu ndiyo akili zinakurudia.
 
Don't save her
She don't wanna be saved
Don't save her
She don't wanna be saved
Don't save her
She don't wanna be saved
Don't save her
She don't wanna be saved
[emoji444][emoji445]
 
Umeleta hukumu ya manara lakini hujaletea
1. Chanzo cha habari yako
2. Kamati ilikaa lini
3. Maneno ya Haji kumsea karia,je akaria aliongea nini hata Haji akamkosea Heshima?

Habari yako haijakamilika ,usijisifie tu.
 
Baada ya hapo huyo apuuuzwe kila atalofanya mpaka adhabu iishe.
 
Nikiwa mpenzi wa mpira na mpenzi wa klabu bingwa Tanzania, Dar Young African!nimefurahishwa sana na hii adhabu!sikuwahi kumkubali tangu akiwa makolo FC na sasa Yanga!!mimi ni muumini wa soka/utani wa kistaarabu na uungwana!!haiwezekani mtu anatukana wenzie,akiguswa tu anakimbilia anaonewa!!mtu hataki watu waikosoe club anayoifanyia kazi na matokeo yake wachambuzi wengi wanaogopa kuikokosoa Yanga kwa kuogopa manara atawararua katika ukurasa wake!!mambo ya ovyo sana haya!!ngoja akae benchi ajifunze weledi kazini!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Kicheko cha Bumbuli chooni, polenii sana wanajangwani, kwa hiyo hatatambulisha wachezaji siku ya mwananchi?
Sio huyo tu, hata Jemedari, Nugaz na Prisca Kishamba huko waliko wanacheeeeeka!.
Rais Karia kanywa Juice zake za msamaha zikasaidia kupunguza adhabu stahiki toka 5 yrs hadi kifungo cha miaka 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…