Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
huyu jamaa alistahili ban isiyopungua miaka 5Mb9na amepewa adhabu ndogo sanaaa!?? Angekuwa mtu wa lipuli ameyafanya haya angepewa adhabu iyooo, tutakata rufaaa adhabu iongezwe ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu jamaa alistahili ban isiyopungua miaka 5Mb9na amepewa adhabu ndogo sanaaa!?? Angekuwa mtu wa lipuli ameyafanya haya angepewa adhabu iyooo, tutakata rufaaa adhabu iongezwe ..
Mkuu unarusha makaa kwenye kidonda wanatamani kubisha ila ndo hivyo tenaa ukweli unaumaTena alikuwa ni mhamasishaji wa GSM! Maana Afisa Habari wa Yanga anafahamika fika ni Hassan Bumbuli.
Nidhamu ya kumheshimu Karia ?Mimi ni yanga ila Manara hana nidhamu
Tatizo Haji Manara alimfunika kabisa Bumbuli ndiyo maana naye kajibu mapigo. Haji mwenyewe anasema siku ile alijua anamsalimia Karia kumbe alikuwa anampaka, sakizi siyo uchawi wa kitoto,ukishahafibu ndiyo akili zinakurudia.Tena alikuwa ni mhamasishaji wa GSM! Maana Afisa Habari wa Yanga anafahamika fika ni Hassan Bumbuli.
Mgodi wake ni GSMHii nchi bana, unamfungia na faini milioni 20, kwani ana mgodi ?
Huu ni unyanyasaji wa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Au wanatamani nini kwake.
Tulia wewe usiye na akili Kama Manara alivyosema.Mabingwa tunaenda kupindua meza kama kawa🚶
Sasa bumbuli ni simba yule?[emoji23][emoji23][emoji23] mikia bhana eti wana yanga,mnapenda kujitekenya sana
Wanatamani kishuzi kile.Hii nchi bana, unamfungia na faini milioni 20, kwani ana mgodi ?
Huu ni unyanyasaji wa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Au wanatamani nini kwake.
Umeleta hukumu ya manara lakini hujaleteaNilipoanzisha Uzi mapema leo nikiwa na uhakika wa 100% kuwa Haji Manara Wapumbavu kama akina sky soldier walinipinga na kuna wengine walitamani isiwe kama nilivyotabiri ili waje Wanishambulie na Wanicheke kuwa nimechemka.
MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima na nimebarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu.
Akhsante Mwenyezi Mungu kwa Tunu.
Hata Morrison naye ni janga lililokaa mkao wa kulipuka wakati wowote kwa Yanga, tunzeni hili neno mje mnikumbushe likishajidhihirisha tukijaliwa uzima [emoji23]Mimi ni yanga ila Manara hana nidhamu
Tabia ni ngozi kamwe haiwezi kujificha.Hii miaka 2 aitumie vizuri kuangalia wapi amekosea na ajifunze namna ya kubehave vizuri na watu
Hivi huyu jamaa "anajikuta" yeye naaani!? Au backup ya anayeimiliki gsm ndio inampa kiburi!?
Nikiwa mpenzi wa mpira na mpenzi wa klabu bingwa Tanzania, Dar Young African!nimefurahishwa sana na hii adhabu!sikuwahi kumkubali tangu akiwa makolo FC na sasa Yanga!!mimi ni muumini wa soka/utani wa kistaarabu na uungwana!!haiwezekani mtu anatukana wenzie,akiguswa tu anakimbilia anaonewa!!mtu hataki watu waikosoe club anayoifanyia kazi na matokeo yake wachambuzi wengi wanaogopa kuikokosoa Yanga kwa kuogopa manara atawararua katika ukurasa wake!!mambo ya ovyo sana haya!!ngoja akae benchi ajifunze weledi kazini!Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Rasmi Sasa aanze kui_promote chapa gsm.Kapoteza kibarua Yanga! Hiyo miaka miwili atakayekaimu Usemaji Yanga lazma achukue mikoba kimoja! Akacheze kibao kata K'koo...! Au ajaribu usemaji Bongoflava au Bongo movie!
Sio huyo tu, hata Jemedari, Nugaz na Prisca Kishamba huko waliko wanacheeeeeka!.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kicheko cha Bumbuli chooni, polenii sana wanajangwani, kwa hiyo hatatambulisha wachezaji siku ya mwananchi?