[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]Kwa hyo we wa kutoka kazulamimba unayakataa maamuzi ya kamati?
Ila kweli hamna akili si mlimchukua awe mhamasishaji wenu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mnamkana Leo live chenga chengasisi utopolo kashatuita "hatuna akili eti baba yake na JK ndio wenye akili pekee hata utopoloni kwetu". Na sisi hatumtaki, kama gsm anampenda, akamuajiri ofisini kwake kuuza magodoro.
Kumbe alisema hivi kaahhh....afungiwe tu huyuu anastahiki zaidi ya hapo
Mnaafiki tu Hana lolote akiwa na shida anamkumbuka Mungu akiwa na Raha hajui kabisa Hajji jeuri Sana hanaga adabuAmeshaanza kulia huko mitandaoni. Km kawaida yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyojiliza sasa, khaaah.Mnaafiki tu Hana lolote akiwa na shida anamkumbuka Mungu akiwa na Raha hajui kabisa Hajji jeuri Sana hanaga adabu
Hapana .Hapa kamfata jamaa yake gsm, bila GSM asingekanyaga hapa.Ila kweli hamna akili si mlimchukua awe mhamasishaji wenu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mnamkana Leo live chenga chenga
Nimeona😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mjuba eeeh Sakhoo kachukua kiatu cha goal bora.
Mambo ni yente yente lunyasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona[emoji23]
mbona makolo wanatuita utopolo!hilo ni kawaida sanaaa!ndo utani huooIla "makolo" alilowabatiza Simba unaliimba kikasuku! Acha kujichanganya.
Uikiamua kumkataa shetani, kataa na mambo yake yote, sio unachagua baadhi. "Utopolo" Ni jina alilitunga shabiki wa Yanga. Kwa hiyo si kosa letu. Yeye kasema hamkubali Manara (huyo niliyemnukuu) ila bado jina alilowaita Simba huyo Manara la "makolo" analikumbatia. Na huyo huyo ndiye aliyesema pale utopolo wenye akili wawili tu. Sasa si ujuha huo!mbona makolo wanatuita utopolo!hilo ni kawaida sanaaa!ndo utani huoo