Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

sisi utopolo kashatuita "hatuna akili eti baba yake na JK ndio wenye akili pekee hata utopoloni kwetu". Na sisi hatumtaki, kama gsm anampenda, akamuajiri ofisini kwake kuuza magodoro.
Ila kweli hamna akili si mlimchukua awe mhamasishaji wenu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mnamkana Leo live chenga chenga
 
Mnaafiki tu Hana lolote akiwa na shida anamkumbuka Mungu akiwa na Raha hajui kabisa Hajji jeuri Sana hanaga adabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyojiliza sasa, khaaah.
 
Ila kweli hamna akili si mlimchukua awe mhamasishaji wenu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mnamkana Leo live chenga chenga
Hapana .Hapa kamfata jamaa yake gsm, bila GSM asingekanyaga hapa.
 
mbona makolo wanatuita utopolo!hilo ni kawaida sanaaa!ndo utani huoo
Uikiamua kumkataa shetani, kataa na mambo yake yote, sio unachagua baadhi. "Utopolo" Ni jina alilitunga shabiki wa Yanga. Kwa hiyo si kosa letu. Yeye kasema hamkubali Manara (huyo niliyemnukuu) ila bado jina alilowaita Simba huyo Manara la "makolo" analikumbatia. Na huyo huyo ndiye aliyesema pale utopolo wenye akili wawili tu. Sasa si ujuha huo!
 
Back
Top Bottom