Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
[emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo Haji Manara alimfunika kabisa Bumbuli ndiyo maana naye kajibu mapigo. Haji mwenyewe anasema siku ile alijua anamsalimia Karia kumbe alikuwa anampaka, sakizi siyo uchawi wa kitoto,ukishahafibu ndiyo akili zinakurudia.
Sent using Jamii Forums mobile app