Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Ila faini ya milioni 20 aisee sio mchezo...wajumbe hapa kwakweli wamekurupuka.

Miaka 2 mingi kwa mtu mweledi ila kwa Manara kwa sababu ya ushenzi wake anastahili zaidi ya hiyo.

Ila wasomali noma [emoji16][emoji16] HAJAJIFUNZA KWA AL SHABABY
Yeye si huwa anatamba kuwa hela anazo??
 
Asipoangalia anaweza kupotea kwenye game mazima ,maana miaka miwili ikiisha atakuja na kiki ipi na generation inabadilika
Ni kama Jerry tu, sasa hivi hata akirud hawezi kuwa na makali kama enzi zile ambazo hata Haji alikuwa hawezi kutia neno.
 
demigod wee kidampaaa hebu njoo utoe neno hapa.

Tate Mkuu shostieeeee nakuomba hapaaa, vipi unalo??

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@demigod mzee wa kujikuta ana connection na viongozi wa mpira hakuweza kuliona hili likija, yeye aliesema kabisa kuwa ikitokea Manara kaguswa tumuite "mbwa" ila mpaka sasa simuoni.
 
Ni kama Jerry tu, sasa hivi hata akirud hawezi kuwa na makali kama enzi zile ambazo hata Haji alikuwa hawezi kutia neno.
huyu jamaa hata alipokuwa Simba nilikuwa sipendi aina yake ya usemaji ,mtu gani siku nzima unazungumzia timu nyingine?ule ni usemaji wa kijinga sana , kageuza mpira kuwa taarabu ya kujibizana kwenye press,kujibizana na waandishi kutwa.
 
Hata mzee wa "wape salaaam" atakuwa anacheka sana huko aliko.

Jamaa alianza kumfanyia figisu ionekane kama hakuna haja sana ya Bumbuli kuwepo kwenye kitengo hicho ilihali yeye yupo, kila sehemu akajiweka kimbembele ikafikia hatu yeye ndo akaonekana ni msemaji na Bumbuli awe mhamasishaji, kumbe ni kinyume.

Halafu akajikuta anauchungu sana na Yanga Sc kuliko aliowakuta[emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapewa za chembe, za uso, achecheeeeh.
 
@demigod mzee wa kujikuta ana connection na viongozi wa mpira hakuweza kuliona hili likija, yeye aliesema kabisa kuwa ikitokea Manara kaguswa tumuite "mbwa" ila mpaka sasa simuoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mjuba eeeh Sakhoo kachukua kiatu cha goal bora.

Mambo ni yente yente lunyasi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi.
Na alivyo mwehu atakata Rufaa kisa u takadini wake.

Lol
Anapenda kutumia hicho kivuli manara but inshort hanaga adabu Hajji Ila muda wa yeye kushuka umefika
 
Back
Top Bottom