Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mlioshindwa masharti yake,kama bado mlimhitaji na mkashindwa kutekeleza mahitaji yake,Sasa mnamwoneaje wivu Kwa mafanikio yake🚶Miaka miwili haitoshi kwa hili lopokaji.
Wana🦁wenye wivu Kwa mnara boy wote tutawajueni kwenye hili🤔Angalau apunguze na kizabazabina! Atangaze utalii na makampuni ambako hakutakuwa na matusi
Sure,akawe anamuhudumia kahawa GSM huko........ pamoja na kuisaidia timu Kuna vitu vya kijinga sana anavifanya mojawapo ni kumrudisha Morrison na kumleta ManaraKwa mashabiki wa Yanga wenye akili, hili jambo tumelipokea kwa furaha mno ila kwa mashabiki wa GSM yanga ni taarifa mbaya kwao. Manara nilikuwa alipokuwa Simba nilimuona hana weledi na hata kuja kwake Yanga kulinichukiza mno
Ana matusi sana, eti simba wamecheza na madereva tax misri jamaa popoma sanaWana🦁wenye wivu Kwa mnara boy wote tutawajueni kwenye hili🤔
Angalau apunguze na kizabazabina! Atangaze utalii na makampuni ambako hakutakuwa na matusi
Umemaliza au?Ww ni hunger game player
Kipenzi Cha jiesiemu siyo YangaYamekuwa hayo tena kipenzi chenu mnamkataa? Nyie si watu wema hata kidogo huu ndiyo wakati wa kumfariji takadini wenu jamani siyo vizuri hivyo
Hiyo ndio bahati Kwa mahasimu wenu mabingwa wa kihistoria 🤸
Wanamaanisha nini kusema asijiusishe na mpira. Huwezi mzuia mtu kuzungumzia mpira na kutoa maoni yake kuhusu mpira popote pale duniani. Hiyo ni inbon right.Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
kwahiyo ameadhibiwa kwa kuonewa wivu?Nyie mlioshindwa masharti yake,kama bado mlimhitaji na mkashindwa kutekeleza mahitaji yake,Sasa mnamwoneaje wivu Kwa mafanikio yake🚶
Pengine asingeweza kufungiwa ila kwa nilivyowasikia mawakili wake siku ile nikajua hawa lazima wamchomesheAsipoangalia anaweza kupotea kwenye game mazima ,maana miaka miwili ikiisha atakuja na kiki ipi na generation inabadilika
Mmoja wa Wana🦁 waliomhujumi Mnara boy🏃Umemaliza au?
Ndio wivu wa ubingwa wa kihistoria na mafanikio baada ya kuwa bwaga Wana Lunyasi🦁.🤸kwahiyo ameadhibiwa kwa kuonewa wivu?
Hukumu Ni kifungo na faini kwapamojaWanayanga tuungane tumlipie Manara hii faini aliyotozwa na TFF!
Manara amekuwa mtu mwenye mapenzi mema na timu yetu ametutetea sana, na hata hiki kifungo alichopata ni kwa sababu ya mapenzi yake mema na Club yetu!
Hivyo tupitishe bakuli ndani ya siku chache million 20 tunapata, inalipwa!
Wengine nadhani wana wazo la kukata rufaa, sishauri rufaa kwa sababu ni bora apumzike tu ili akitoka kwenye kifungo awe na adabu pia!
Ila wanayanga tumsuport kwa kumlipia faini kama kumuonyesha fadhila, na pia tuwaombe wanasimba waliokuwa wakimpenda watusaidie katika hili!
Nawasilisha!