Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Mungu anamuona Manara na dhambi yake ya unafiki hii ni type ya wale wanawake ambao akiachika tu utasikia ooh mwanaume mwenyewe nilikuwa simpendi
 
Usiishi kwa kukariri
 
Manara hajanunulika kaenda pale kufanya kazi,hivi mlitaka Manara hahanze kuzurula barabarani akiombaomba , wakati anaprofessional yake,mwache Manara afanye kazi,ingawa adui yako upenda kuona upande wa adui yako upenda kuona adui akiadhirika
 
Yani kuongea kwa Manara kunafanya team ichukue kombe,bila kuwekeza na usajili wa wachezaji Bora?
Manara yupo kwaajili ya branding and marketing ya team mkuu.

Kumbuka anachoongeaga HAJI MANARA huwaga 'dhahabu',Tukiachana na maneno yake ya kukeraa pia huwaga ni mtu wa tambo.

Nafikiri yanga kwenye masoko na kufanya branding ya team itakua mara dufu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya sasa tuliwaambia watu kua yule ni snitch mkabisha

Enhee yale manung'uniko yake kwenye zile clips akilia kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa yako wapi?
Kwani yale manung'uniko uliyaamin mkuu?
 
Manara hajanunulika kaenda pale kufanya kazi,hivi mlitaka Manara hahanze kuzurula barabarani akiombaomba , wakati anaprofessional yake,mwache Manara afanye kazi,ingawa adui yako upenda kuona upande wa adui yako upenda kuona adui akiadhirika
Hivi nini tafsiri ya neno "Professional" kama ulivyolitumia kwenye hii sentensi yako
 
Mungu anamuona Manara na dhambi yake ya unafiki hii ni type ya wale wanawake ambao akiachika tu utasikia ooh mwanaume mwenyewe nilikuwa simpendi
Au utasikia Mtu Mwenyewe ana kiba100, kumbe demu ana "bwawa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…