Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Daah yanga kweli wastahimilifu yani pamoja na matusi yote yale leo hii wamemsajili

Haya tuone kwenye utambulisho wa wachezaji hiyo siku ya wananchi kama Manara ataendelea kumhesabia Morrison
 
Uongozi wa simba huwa haufanyi jambo kwa kukurupuka. Usaliti wake umeonekana sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa kila siku atakuwa anazungumza mabaya ya viongozi wa simba .
 
Kama kumbukumbu zangu vizuri, early to mid 90’s haji alikuwa anachezea yanga kids chini ya kocha Tostao!!!!!!’ hivyo sishangai mtu huyu kurudi nyumbani
Au ujasusi wa simba wametuma mtu wao ?
 
Mimi siyo shabiki ila nilivutiwa sana na ugomvi wa kutengeneza Kati ya Manara na Simba. Nilisikiliza pande zote kwa makini na kugundua kwamba Manara ataenda Yanga.

Sababu ya kuamini vile ni kwamba kwanza Manara alitoa tuhuma na akazijibu mwenyewe halafu hakukataa kwamba yeye na GSM wa Yanga wana uhusiano,ila hapo hapo anakataa ushirika na Yanga ambayo ni timu ya asili ya wazazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…