Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Si nyingi kwa kazi ipi mkuu?? Sidhani kama simba inashindwa kwenda bila kile cheo cha manara. Viongozi wake wameona hiyo inamtosha kwa cheo chake.Nne si nyingi. Bora laki saba na yupo huru kufanya kazi za kutangaza mpaka kina Suguye.
Nimemsikiliza mzee hans pope, kaongea kwa ufupi ila kaeleweka kabisa. Manara ni kimeo.View attachment 1863466
Katika muendelezo wa msuguano kati ya Haji Manara na CEO wa simba Barbara Gonzaléz , imetolewa voice note nyingine ambapo Haji Manara amesikika akilia kuwa anaonewa na kufanyiwa dhuluma, Haji amesikika akiongea kwa sauti ya masononeko kuwa ana wasiwasi kwa visa anavyofanyiwa anaweza kuuwawa.
Pope kasema manara kawekewa mkataba wa mil 4 mpaka leo hataki kusaini na sababu ya kutotaka kusaini ni hataki kujifunga na simba sababu ana mikataba na makampuni mengine. Achague moja...Mkataba hana. Mkataba upi aliopewa wa M20?
Kazi ya mpili imeanza kuonekana
Tatizo la kuokota okota wasemajiKwenye hicho kilio hakutaja neno utopolo? Maana ndio neno analojua kulitamka, mikia apa wataonesha kuguswa na kilio cha mbumbumbu mwenzao.
Marekebisho kidogo ni m4Watu waongo sn msemaji wa timu( HAJI) alipwe Million 20 kwa mwezi apewe kama mshahara wachene maskhara nyie watu.
Huyo C.E.O mwenyewe sijui kama analipwa hata MILLION 10 inafika na ELIMU YK yote hiyo .
Basi aende huko akawe huru zaidiNne si nyingi. Bora laki saba na yupo huru kufanya kazi za kutangaza mpaka kina Suguye.
Acha uongo. Angepewa offer ya namna hiyo asingelalamika kuhusu laki saba. Halafu Mhindi amlipe M20?.Acha uongo.
LAnalipwa 700? Kwa currency ipi?
Labda EURO😄😄Analipwa 700? Kwa currency ipi?
Unataka kuniambia Simba imekua dhaifu kiasi kwamba ili iifunge Yanga inabidi waanzishe maigizo ?Nikufafanulie vp wkt hata mind games huzijui shida yenu utopolo yakwenu yamewashinda Sasa mnalazimisha wote tuwe sare sare caption this Simba 3 yanga uto 1
Kapewa mkataba wa milioni 4 hataki kusaini ili awe anapata huku na kuleMuongezeeni mshahara bhana! Laki 7 kwa maisha ya mjini, si bora auze tu maji ya Bakharesa!!!
Watu wakitishia Maisha yako utachekeleaView attachment 1863466
Katika muendelezo wa msuguano kati ya Haji Manara na CEO wa simba Barbara Gonzaléz , imetolewa voice note nyingine ambapo Haji Manara amesikika akilia kuwa anaonewa na kufanyiwa dhuluma, Haji amesikika akiongea kwa sauti ya masononeko kuwa ana wasiwasi kwa visa anavyofanyiwa anaweza kuuwawa.