Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

kama ni hivyo anaona mkataba haumlipi aondoke kwa busara tu ili kujijengea heshima hata huko Azam. Ila kwa hilo domo hata kama mini ningekuwa Azam siwezi kufanya kazi na mtu kama huyu
 
Sisi tushamaliza kazi, mapema sana na watu wetu, Mind game ya kitoto sana hiyo hasa hasa inadhoofisha mashabiki wa simba katika hili na sio kuwapa morali mashabiki
Sasa mind game inawa affect vp yanga? Huoni kama inawachanganya mashabiki wa simba pia na kuleta makundi? Alieplan hii mind game atakuwa hajafikiria sawa sawa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Manara ni tatizo kubwa pale Simba linalohitaji utatuzi wa haraka.........
 
mwenzangu mimi na mswahili mwenzangu haji lazima aangukie pua kwani Pisi kali in kay 'kali' …………..
 
itakuwa ni ajabu sana kama tutazidi kumkumbatia huyu bwana
 
Kweli ukicheka na mbwa atakufuata msikitini,leo manara anasema ameibrand Simba!!? wakati washabiki tunamjua sababu ya Simba.
 
Nikufafanulie vp wkt hata mind games huzijui shida yenu utopolo yakwenu yamewashinda Sasa mnalazimisha wote tuwe sare sare caption this Simba 3 yanga uto 1
Inavyoonekana unampenda Sana manara,lakini pia unampenda Barbara,na hutaki kumpoteza yoyote ndio maana umekuja na kauli eti "mind game"

Mpira wa kileo haumuhitaji manara ili timu ipate ushindi...
Labda awepo kuwapa hamasa aina ya mashabiki Kama wewe ili muende uwanjani lakini sio kuingilia mipango ya utendaji clabu..

Ni muda manara atuachie timu yetu iendeshwe kiuweledi,yeyd akakas na muchacho wajadili namna ya kuleta hamasa kwa mashabiki
 
Manara Ana mental disorders kumbuken n albino alafu kumbuken akiliharibu huwa anatafta huruma ya mashabiki
 
Taara ni kuwa manara aligoma kitambo kusign mkataba wa malipo ya 700k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…