Mastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa. Sina shida na manara ni mwananchi mwenzangu ila hiyo tabia ya kuanika wake hapana. Leo kaandika caption ndefu kama mnara wa babeli, akimsifia mke mkubwa, wacha achapiwe.
Hamo na kajala kha! Walijuwa kutuumiza wako wapi?
Naweza kuonekana mnafiki na sipingi ila mtu mwingine ninaemsubiri kwa hamu asage meno ni zamaradi, mme anatundikwa barabarani? Unajinunulia gani urithi wa ruge unatudanganya umenunuliwa? Wadada wa daslam hawajawahi tuangusha siku ipo ilo bango ulilotundika jijini dar utalijutia.
Sema mme wa zamaradi hana hela angekuwa nazo wadada wa mjini wasingechelewa kutuvunja mbavu.